Naanza kuwaona vijana South Africa baada ya bei ya Passport kushuka

Naanza kuwaona vijana South Africa baada ya bei ya Passport kushuka

Habari zenu wadau kati ya jambo ambalo watu hasa wenye kiu ya kutoka au kwenda njee ya nchi walilo hitaji Ni pamoja na Bei ya passport kupungua.

Tangu serikali ianzishe mfumo wa passport za Ki Electronic Ni km miaka 3 imetimia ,HATI hyo ilipatikana kwa kiasi Cha shilling 150,000 Ila kwasasa itapatikana kwa sh Elfu 50,000 Tu.

Mungu amjalie maisha marefu Rais wetu Samia.

Vijana kazi kwenu.

Naanza kuona vijana mkienda South Africa.
Wala tatizo halikuwa pesa, kwani kabla ya hiyo 150, 000 si ilikuwa 50, 000?tatizo ni kuipata ndio shida ipo , hayo matakwa yake hadi uipate ndio kuna shida.
 
Habari zenu wadau kati ya jambo ambalo watu hasa wenye kiu ya kutoka au kwenda njee ya nchi walilo hitaji Ni pamoja na Bei ya passport kupungua.

Tangu serikali ianzishe mfumo wa passport za Ki Electronic Ni km miaka 3 imetimia ,HATI hyo ilipatikana kwa kiasi Cha shilling 150,000 Ila kwasasa itapatikana kwa sh Elfu 50,000 Tu.

Mungu amjalie maisha marefu Rais wetu Samia.

Vijana kazi kwenu.

Naanza kuona vijana mkienda South Africa.
Sina taarifa ya kushuka bei ya passport, anyway ngoja nijipange kwenda kuhuisha ya kwangu...
 
Ila sio hatari kumpa kitambulisho cha taifa asiyekuwa raia wa tz!?
Hatari ipi sasa hali hata Kenya tu akitumii.Pasipoti ni international NIDA ni domestic.Kuwa na NIDA hakumaanishi ndio uhalali wa kuwa raia
 
  • Kicheko
Reactions: Pep
Hakuna kitu kama hicho! Wengi tuna passport tumezipata bila hata yakuwa na safari! Nimekuja safiri miezi 6 baada yakupata passport
brother usibishe kama huna uhakika pale uhamiaji huna sababu ya safari hupewi passport labda kama sasa wameondoa hiko kipengele, wakati nahangaikia passport yangu kuna mtu kakataa kupewa passport mpya wakati iliyoisha muda wake imechafuka mihuri sababu tu hana sababu ya safari, bila kuwa na sababu ya safari ingenitoka hela ya ziada na ndo nachoshukuru kuipata passport na sio vinginevyo
 
Vijana wahamasishwe passport ni haki yao ya kikatiba. Wakiweza watoke nje kusuuza macho hata nchi jirani.
Mkuu nilikuwa uhamiaji ..nimesikitishwa sana , hapa nilipo ninauchungu na hasira balaa! Ngoja nitimize mambo fulani nitaleta uzi
 
Inasikitisha kwamba mfumo haupo hivyo, unachokitamani kiwe kina make sense 100% lakini ukifika uhamiaji ndiyo utawaelewa vizuri
Sijaelewa kwa nini uambatanishe na TIN namba au kitambulisho cha mjasiliamali pia mkuu
 
Wengi wanadhani ukizaliwa tu Tanzania tayari ni Mtanzania.Kama baba yako au babu yako hakuwahi kuukana uraia wa alipotoka hata ukizaliwa tza wwe sio Mtanzania sasa NIDA wanajua haya.Kupeleka barua ya mtendaji, vyeti vya kuzaliwa sio kigezo cha uthibisho wewe ni uraia.Kuna wenye fani za kujua thus Passport haitolewi tu kama kitambulisho tu
Afisa uhamiaji naomba uniambie hao wenye fani , wanafuata utaratibu gani kujuwa kila uraia wa mtu/watu wanaofanya maombi ya PASSPORT..

Maana umesema NiDa / Rita / serikali ya mtaa siyo vigezo..
 
Nyie watu wa ajabu sana. Mnataka kwenda south kufanya nini!! Mmesahau yale mauwaji kwa wafanyabiashara!!!
 
Walikwambia uambatanishe hivyo?
Niliambiwa TIN namba au kitambulisho vha mjasiliamali nikakwama hapo, nikakwama pia cheti cha kuzaliwa cha mzazi mmoja na pia barua ya mwaliko kule nakoenda au sababu ya mashiko ya safari, nkakwama hapo pia mkuu
 
Yaani mtu anaongea utadhani nauli ya Sauzi ni kama kupanda Super Feo ya Mbinga au Buti la zungu Ntwara.

Everyday is Saturday............................... 😎
Hmna superfeo ya mbinga sku hiz..mwisho songea
 
Back
Top Bottom