Naanza kuwaona vijana South Africa baada ya bei ya Passport kushuka

Naanza kuwaona vijana South Africa baada ya bei ya Passport kushuka

Niliambiwa TIN namba au kitambulisho vha mjasiliamali nikakwama hapo, nikakwama pia cheti cha kuzaliwa cha mzazi mmoja na pia barua ya mwaliko kule nakoenda au sababu ya mashiko ya safari, nkakwama hapo pia mkuu
Ongea na mzazi afuatilie affidavit/kiapo mahakamani ni Tshs. 5000..
Ngoja wadau waongezee hapa..
 
Dah!!! Najiona kwa wazulu kupiga picha na sarafina wa freedom is coming tommorow mambo haya.
 
Ongea na mzazi afuatilie affidavit/kiapo mahakamani ni Tshs. 5000..
Ngoja wadau waongezee hapa..
Wanasema kama hawana affidavit basi wanatengeneza pale pale kwa mwanasheria wao kwa 20,000/=
 
Wanasema kama hawana affidavit basi wanatengeneza pale pale kwa mwanasheria wao kwa 20,000/=
Ndiyo mazingira ya upigaji pesa hayo.. nenda mahakama ya serikali upewe ni tshs 5000
 
brother usibishe kama huna uhakika pale uhamiaji huna sababu ya safari hupewi passport labda kama sasa wameondoa hiko kipengele, wakati nahangaikia passport yangu kuna mtu kakataa kupewa passport mpya wakati iliyoisha muda wake imechafuka mihuri sababu tu hana sababu ya safari, bila kuwa na sababu ya safari ingenitoka hela ya ziada na ndo nachoshukuru kuipata passport na sio vinginevyo
Huyo alikuwa na bahati mbaya tu. Ukiwa na passport ya zaman process ya kupata mpya sio ndefu, Yani hata maswali huulizwi. Unajaza form na unaenda na passport ya zamani kila kitu faster.

Ambao hawajawahi kumiliki passport ndo mlolongo unakuwa mrefu Hadi uthibitisho wa Safari.
 
Hii ni uongo hakuna punguzo mke wangu ni afisa uhamiaji kasema mnajidanganya hakuna kitu kama hicho
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Naomba kueleweshwa kidogo.

Sijasafiri within EA kwa mda mrefu sana, ila nilivosikia ni kuwa border zipo open kwa free movement (sijui kama ni kweli au la - ilimradi kitambulisho cha taifa kinatosha)

Hii EA passpot faida yake ni ipi? Je inatosha kuwa na EA passport na hakuna haja ya TZ passport?
 
Huko mpakani kama UG, kuna temporary permits unapewa kama huna PS

Na kwasasa zinatolewa e- Ps
 
Huko mpakani kama UG, kuna temporary permits unapewa kama huna PS

Na kwasasa zinatolewa e- Ps
Sasa faida ya EA passport iko wapi? nna rafiki yangu yeye ana hold ya EA na ya TZ. Sielewi anapata faida gani kuhold zote mbili. Mana kama movement within EA ndo kama ivo kitambulisho ama permit tu inakuvukisha border.
 
Afisa uhamiaji naomba uniambie hao wenye fani , wanafuata utaratibu gani kujuwa kila uraia wa mtu/watu wanaofanya maombi ya PASSPORT..

Maana umesema NiDa / Rita / serikali ya mtaa siyo vigezo..
Kujua asili ya mzazi
 
Niliambiwa ukifika pale uhamiaji ukaulizwa kazi yako ni bora kusema mkulima kuliko kusema kazi nyingine ili kupunguza maswali
 
Ukifika uhamiaji sehemu ya kazi andika "MHITIMU WA SHULE" baba hii hawachomoi ..watasema weka vyeti vyako tu basi ..Kama huna vyeti hapo andika wewe ni "SINA KAZI" [emoji23][emoji23] halafu uone Kama hutopata Gamba.
Mbona simple tu kupata wakuu..
 
Unaweza kutafuta driving licence ili kwenye kazi unaandika dereva .
Sabubu ya safari nasafirisha gari za IT kwenda congo,zambia , rwanda etc.

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom