Naanza kuwaona vijana South Africa baada ya bei ya Passport kushuka

Naanza kuwaona vijana South Africa baada ya bei ya Passport kushuka

SSH 455 ,vijana wa Tanzania wanayo haki kutafuta maisha abroad.
 
Thus immigration awatumii tu kitambulisho cha NIDA kuhalalisha uhalali wa kupewa pasipoti wanaunganisha na others supportive document.
Kihallai inabidi uwe na documents zipi/ ngapi ili upate passport?
 
Sasa faida ya EA passport iko wapi? nna rafiki yangu yeye ana hold ya EA na ya TZ. Sielewi anapata faida gani kuhold zote mbili. Mana kama movement within EA ndo kama ivo kitambulisho ama permit tu inakuvukisha border.
Nafikrir izo east African passport ni za zamani?
 
Ukifika uhamiaji sehemu ya kazi andika "MHITIMU WA SHULE" baba hii hawachomoi ..watasema weka vyeti vyako tu basi ..Kama huna vyeti hapo andika wewe ni "SINA KAZI" [emoji23][emoji23] halafu uone Kama hutopata Gamba.
Mbona simple tu kupata wakuu..
Huna kazi?
Lete Bank statement inayoonyesha kiwango cha pesa kizuri..
 
Kihallai inabidi uwe na documents zipi/ ngapi ili upate passport?
Inategemeana na safarii yako na wwe ni nani means,mkulima,mfanyakazi, mfanyabiashara,ila key points vyeti vya kuzaliwa chako na cha mmoja wa mzazi wako.Zaidi google details zitakiwazo kulingana na uhusika wako.
 
Nafikrir izo east African passport ni za zamani?
Zinatumika bado lakini na nafikiri unaweza ku apply maana nilienda immigation office nikakuta bango la kuonesha hizo passport zote zinazotolewa.
 
Habari zenu wadau kati ya jambo ambalo watu hasa wenye kiu ya kutoka au kwenda njee ya nchi walilo hitaji Ni pamoja na Bei ya passport kupungua.

Tangu serikali ianzishe mfumo wa passport za Ki Electronic Ni km miaka 3 imetimia ,HATI hyo ilipatikana kwa kiasi Cha shilling 150,000 Ila kwasasa itapatikana kwa sh Elfu 50,000 Tu.

Mungu amjalie maisha marefu Rais wetu Samia.

Vijana kazi kwenu.

Naanza kuona vijana mkienda South Africa.
Waliopandisha bei walilenga nini ?
 
Back
Top Bottom