Naanza sasa Kumuamini aliyeniambia kuwa Kipa Msheri wa Yanga SC atapona Ugonjwa Usiojulikana Yanga SC ikiwa Bingwa wa CAFCC 2023

Sema wewe kijamaa una mastress makali sana. Utakuja kujinyonga siku. Siye sote ni wanasimba ila jazba zako kwenye uwasilishaji wa hoja zako ni wa kindezi sana
 
jibu langu mimi kwako ni iyo ulioandika kwenye ANGALIZO
 
Kwa hiyo bwana mganga aliona nyota ya dogo akasema asajiliwe iwe mvua ama jua.
 
Hivi Mods mna kazi gani kama mnaruhusu takataka kama hizi kupostiwa jukwaa la great thinkers?Hapo kathink kitu gani special?
 
GENTAMYCINE humu Jukwaani ni kama Chalamila kwenye nafasi za RC popote anapopitaπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Kama ni wakule ..sisi KABILA LETU NDIO TUNAITWA "WAGANGAJI" ... WAKWAYA......
 
Nitolee upuuzi wako hapa. Kwa maandishi yako, hakuna mwanaume hapa. Wanaume marijali hatuna tantalila kama hizi zako. Ni kweli unapumuliwa wewe sio bure. Nimekudharau na wala sintakujibu tena.
 
Nitolee upuuzi wako hapa. Kwa maandishi yako, hakuna mwanaume hapa. Wanaume marijali hatuna tantalila kama hizi zako. Ni kweli unapumuliwa wewe sio bure. Nimekudharau na wala sintakujibu tena.
Nakazia
 
Vipi mke wa marehemu Mkono mliishia wapi? Rais aliingilia kusaidia vidume uchwara vya Mara baada ya ule mkwamo?
 
Wewe ni mjinga sana na kwakuwa vijana wengi kwasasa ni wapumbavu ndio maana unaona wanakushabikia
 
Mbona msheri yupo fit kabisa na yupo mazoezini?
 
Utakufa kwa stress mwaka POPOMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…