Naanza sasa Kumuamini aliyeniambia kuwa Kipa Msheri wa Yanga SC atapona Ugonjwa Usiojulikana Yanga SC ikiwa Bingwa wa CAFCC 2023

Sema wewe kijamaa una mastress makali sana. Utakuja kujinyonga siku. Siye sote ni wanasimba ila jazba zako kwenye uwasilishaji wa hoja zako ni wa kindezi sana
 
Pole sana Kipa Msheri vumilia hadi Yanga SC itinge Fainali ya CAFCC leo ichukue na Ubingwa utapona kabisa tatizo lako lisilotibika Hospitali huku Ugonjwa wako ukifichwa na Suala lako likifichwa kwa kila namna ili lisijadiliwe kwani Kuugua Kwako huko ni Mkakati Maalum wa Babu ili mwaka huu Timu ifanye Maajabu makubwa Afrika baada ya Viongozi Kukataa Kujitoa Sadaka ya Umauti kwa Mafanikio ya Timu.

Moderatora Active, Moderator na JamiiForums nirekebishieni hapo katika mwaka ni CAFCC 2023 na siyo hiyo CAFCC 2003. Nitawashukuru.

ANGALIZO

Kwa Wewe KISOKOLOKWINYO ( MUWASHWAJI MUWASHWAJI ) na Mpumbavu ( Damn Fool ) unayejijua humpendi GENTAMYCINE na Mada zake / Uwasilishaji wake hapa JamiiForums tafadhali TUSICHOSHANE na acha kabisa Kusoma na hata Kuchangia bali Watafute Members wengine unaowaona ni Bora Kwako na Unawakubali kuliko Mimi.

Nimemaliza.
jibu langu mimi kwako ni iyo ulioandika kwenye ANGALIZO
 
Kwa hiyo bwana mganga aliona nyota ya dogo akasema asajiliwe iwe mvua ama jua.
 
Hivi Mods mna kazi gani kama mnaruhusu takataka kama hizi kupostiwa jukwaa la great thinkers?Hapo kathink kitu gani special?
 
Kawaida huko Mpumbavu na Mnafiki mkubwa Wewe. GENTAMYCINE naanza Kutukanwa kila Siku hapa JamiiForums tena Matusi makubwa na Kudhalilishwa halafu mnanyamaza na hata Kufurahia ila nikianza tu Kujibu Mapigo yangu Makali na ya Kuumiza ndiyo mnajifanya Kujitokeza na Kunikemea Kuonyesha kuwa Mimi ndiyo Mkorofi na Mkosaji Mkuu hapa JamiiForums.

Nina PhD ya Vita ya Maneno na ya Kiusndishi na hakuna wa kuniweza kwa Vita hii hapa JamiiForums na nimewashinda Magwiji wengi hapa na Wengine sasa ni Marafiki zangu baada ya Kuwashikisha Adabu.

Halafu msiwe Washamba na Wapumbavu siku zote Vitani huwa hatuchaguliani Silaha hivyo GENTAMYCINE natumia Silaha za Maangamizi ili Kumuangamiza mazima Adui / Maadui.

Niheshimu ili nami Nikuheshimu pia ila ukileta Usela nami nakuonyesha Usela Mavi wangu na utajuta Mwenye. Ukijamba tu Mimi Nakunya kabisa.

Kudadadeki.
Nitolee upuuzi wako hapa. Kwa maandishi yako, hakuna mwanaume hapa. Wanaume marijali hatuna tantalila kama hizi zako. Ni kweli unapumuliwa wewe sio bure. Nimekudharau na wala sintakujibu tena.
 
ANGALIZO

Kwa Wewe KISOKOLOKWINYO ( MUWASHWAJI MUWASHWAJI ) na Mpumbavu ( Damn Fool ) unayejijua humpendi GENTAMYCINE na Mada zake / Uwasilishaji wake hapa JamiiForums tafadhali TUSICHOSHANE na acha kabisa Kusoma na hata Kuchangia bali Watafute Members wengine unaowaona ni Bora Kwako na Unawakubali kuliko Mimi.

Nimemaliza.
Vipi mke wa marehemu Mkono mliishia wapi? Rais aliingilia kusaidia vidume uchwara vya Mara baada ya ule mkwamo?
 
ANGALIZO

Kwa Wewe KISOKOLOKWINYO ( MUWASHWAJI MUWASHWAJI ) na Mpumbavu ( Damn Fool ) unayejijua humpendi GENTAMYCINE na Mada zake / Uwasilishaji wake hapa JamiiForums tafadhali TUSICHOSHANE na acha kabisa Kusoma na hata Kuchangia bali Watafute Members wengine unaowaona ni Bora Kwako na Unawakubali kuliko Mimi.

Nimemaliza.
Wewe ni mjinga sana na kwakuwa vijana wengi kwasasa ni wapumbavu ndio maana unaona wanakushabikia
 
Pole sana Kipa Msheri vumilia hadi Yanga SC itinge Fainali ya CAFCC leo ichukue na Ubingwa utapona kabisa tatizo lako lisilotibika Hospitali huku Ugonjwa wako ukifichwa na Suala lako likifichwa kwa kila namna ili lisijadiliwe kwani Kuugua Kwako huko ni Mkakati Maalum wa Babu ili mwaka huu Timu ifanye Maajabu makubwa Afrika baada ya Viongozi Kukataa Kujitoa Sadaka ya Umauti kwa Mafanikio ya Timu.

Moderatora Active, Moderator na JamiiForums nirekebishieni hapo katika mwaka ni CAFCC 2023 na siyo hiyo CAFCC 2003. Nitawashukuru.

ANGALIZO

Kwa Wewe KISOKOLOKWINYO ( MUWASHWAJI MUWASHWAJI ) na Mpumbavu ( Damn Fool ) unayejijua humpendi GENTAMYCINE na Mada zake / Uwasilishaji wake hapa JamiiForums tafadhali TUSICHOSHANE na acha kabisa Kusoma na hata Kuchangia bali Watafute Members wengine unaowaona ni Bora Kwako na Unawakubali kuliko Mimi.

Nimemaliza.
Mbona msheri yupo fit kabisa na yupo mazoezini?
 
1684386294709.png
 
ANGALIZO

Kwa Wewe KISOKOLOKWINYO ( MUWASHWAJI MUWASHWAJI ) na Mpumbavu ( Damn Fool ) unayejijua humpendi GENTAMYCINE na Mada zake / Uwasilishaji wake hapa JamiiForums tafadhali TUSICHOSHANE na acha kabisa Kusoma na hata Kuchangia bali Watafute Members wengine unaowaona ni Bora Kwako na Unawakubali kuliko Mimi.

Nimemaliza.
Utakufa kwa stress mwaka POPOMA
 
Back
Top Bottom