Ubora up sema katika uboya wake.😂😂😂Kwenye ubora wakoo mkuuu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ubora up sema katika uboya wake.😂😂😂Kwenye ubora wakoo mkuuu...
Hahaaaaaa, haya bwana.Kinengunengu haya huyu sasa ni mara ya Pili hii ananiambia Mimi ni Shoga / Upinde mbona sioni Ukimkemea au ukiwaita hao Moderators?
Pumbavu na Mnafiki mkubwa Wewe.
jibu langu mimi kwako ni iyo ulioandika kwenye ANGALIZOPole sana Kipa Msheri vumilia hadi Yanga SC itinge Fainali ya CAFCC leo ichukue na Ubingwa utapona kabisa tatizo lako lisilotibika Hospitali huku Ugonjwa wako ukifichwa na Suala lako likifichwa kwa kila namna ili lisijadiliwe kwani Kuugua Kwako huko ni Mkakati Maalum wa Babu ili mwaka huu Timu ifanye Maajabu makubwa Afrika baada ya Viongozi Kukataa Kujitoa Sadaka ya Umauti kwa Mafanikio ya Timu.
Moderatora Active, Moderator na JamiiForums nirekebishieni hapo katika mwaka ni CAFCC 2023 na siyo hiyo CAFCC 2003. Nitawashukuru.
ANGALIZO
Kwa Wewe KISOKOLOKWINYO ( MUWASHWAJI MUWASHWAJI ) na Mpumbavu ( Damn Fool ) unayejijua humpendi GENTAMYCINE na Mada zake / Uwasilishaji wake hapa JamiiForums tafadhali TUSICHOSHANE na acha kabisa Kusoma na hata Kuchangia bali Watafute Members wengine unaowaona ni Bora Kwako na Unawakubali kuliko Mimi.
Nimemaliza.
Hata mimi nawashangaa sana mods kuruhusu mada za kipuuzi kama hizi hapa jukwaaniMods kwani huwa hamuoni mada za kijinga za huyu chizi au nanyi hamnazo?
Nitolee upuuzi wako hapa. Kwa maandishi yako, hakuna mwanaume hapa. Wanaume marijali hatuna tantalila kama hizi zako. Ni kweli unapumuliwa wewe sio bure. Nimekudharau na wala sintakujibu tena.Kawaida huko Mpumbavu na Mnafiki mkubwa Wewe. GENTAMYCINE naanza Kutukanwa kila Siku hapa JamiiForums tena Matusi makubwa na Kudhalilishwa halafu mnanyamaza na hata Kufurahia ila nikianza tu Kujibu Mapigo yangu Makali na ya Kuumiza ndiyo mnajifanya Kujitokeza na Kunikemea Kuonyesha kuwa Mimi ndiyo Mkorofi na Mkosaji Mkuu hapa JamiiForums.
Nina PhD ya Vita ya Maneno na ya Kiusndishi na hakuna wa kuniweza kwa Vita hii hapa JamiiForums na nimewashinda Magwiji wengi hapa na Wengine sasa ni Marafiki zangu baada ya Kuwashikisha Adabu.
Halafu msiwe Washamba na Wapumbavu siku zote Vitani huwa hatuchaguliani Silaha hivyo GENTAMYCINE natumia Silaha za Maangamizi ili Kumuangamiza mazima Adui / Maadui.
Niheshimu ili nami Nikuheshimu pia ila ukileta Usela nami nakuonyesha Usela Mavi wangu na utajuta Mwenye. Ukijamba tu Mimi Nakunya kabisa.
Kudadadeki.
NakaziaNitolee upuuzi wako hapa. Kwa maandishi yako, hakuna mwanaume hapa. Wanaume marijali hatuna tantalila kama hizi zako. Ni kweli unapumuliwa wewe sio bure. Nimekudharau na wala sintakujibu tena.
Vipi mke wa marehemu Mkono mliishia wapi? Rais aliingilia kusaidia vidume uchwara vya Mara baada ya ule mkwamo?ANGALIZO
Kwa Wewe KISOKOLOKWINYO ( MUWASHWAJI MUWASHWAJI ) na Mpumbavu ( Damn Fool ) unayejijua humpendi GENTAMYCINE na Mada zake / Uwasilishaji wake hapa JamiiForums tafadhali TUSICHOSHANE na acha kabisa Kusoma na hata Kuchangia bali Watafute Members wengine unaowaona ni Bora Kwako na Unawakubali kuliko Mimi.
Nimemaliza.
Wewe ni mjinga sana na kwakuwa vijana wengi kwasasa ni wapumbavu ndio maana unaona wanakushabikiaANGALIZO
Kwa Wewe KISOKOLOKWINYO ( MUWASHWAJI MUWASHWAJI ) na Mpumbavu ( Damn Fool ) unayejijua humpendi GENTAMYCINE na Mada zake / Uwasilishaji wake hapa JamiiForums tafadhali TUSICHOSHANE na acha kabisa Kusoma na hata Kuchangia bali Watafute Members wengine unaowaona ni Bora Kwako na Unawakubali kuliko Mimi.
Nimemaliza.
Mbona msheri yupo fit kabisa na yupo mazoezini?Pole sana Kipa Msheri vumilia hadi Yanga SC itinge Fainali ya CAFCC leo ichukue na Ubingwa utapona kabisa tatizo lako lisilotibika Hospitali huku Ugonjwa wako ukifichwa na Suala lako likifichwa kwa kila namna ili lisijadiliwe kwani Kuugua Kwako huko ni Mkakati Maalum wa Babu ili mwaka huu Timu ifanye Maajabu makubwa Afrika baada ya Viongozi Kukataa Kujitoa Sadaka ya Umauti kwa Mafanikio ya Timu.
Moderatora Active, Moderator na JamiiForums nirekebishieni hapo katika mwaka ni CAFCC 2023 na siyo hiyo CAFCC 2003. Nitawashukuru.
ANGALIZO
Kwa Wewe KISOKOLOKWINYO ( MUWASHWAJI MUWASHWAJI ) na Mpumbavu ( Damn Fool ) unayejijua humpendi GENTAMYCINE na Mada zake / Uwasilishaji wake hapa JamiiForums tafadhali TUSICHOSHANE na acha kabisa Kusoma na hata Kuchangia bali Watafute Members wengine unaowaona ni Bora Kwako na Unawakubali kuliko Mimi.
Nimemaliza.
Utakufa kwa stress mwaka POPOMAANGALIZO
Kwa Wewe KISOKOLOKWINYO ( MUWASHWAJI MUWASHWAJI ) na Mpumbavu ( Damn Fool ) unayejijua humpendi GENTAMYCINE na Mada zake / Uwasilishaji wake hapa JamiiForums tafadhali TUSICHOSHANE na acha kabisa Kusoma na hata Kuchangia bali Watafute Members wengine unaowaona ni Bora Kwako na Unawakubali kuliko Mimi.
Nimemaliza.
Unachotafuta utakipata sichelewi kukupeleka SegereaZa Kukukaza au?
Papai la GENTAMYCINE limetafunwa unamaanisha?🤣🤣🤣🤣Naona papai limeamka limetafunwa henyeeeee🤣