Naanzaje kumtongoza huyu msichana aliyekuja ofisini kwetu?

Ndugu zangu tusaidiane swaga apa kidogo.

Leo ofisini kuna msichana alikuja, mimi nilitoka ile narudi ndo nikamuona pale. kwa ule uzuri nikashindwa hata kusalimia sasa baada ya yeye kuondoka ikabidi nikaangalie namba yake kwenye daftari la maudhurio niko nayo apa sjui nianzaje.
[emoji44]
 
Unipe ujuzi sasaa
Yaan hapo ungejua ungemface moja kwa moja alivyokuja hapo ofisini kwenu,unajua kuna watu huwa hawarespond namba ngeni(kama ukimchek kupitia simu) kama hakuna maelezo ya kutosha i.e kutuma msg mambo,hi wengne huwa wanakula buyu tu .coz kama hvyo msichana mzuri msg kama hzo kashazoea anapata kila siku na ndomana wanaume wengi wanapata namba ya pisi kali lakn anaishia kumkosa...usikute muenekano wako ungekubeba u never know so next time ukiona pisi umeilewa mface tu
By the way kwa hii case yako naona kuna mdau huko juu katoa ushauri mzuri kwamba ujifanye unampigia simu kama kumuulizia kama kapenda huduma za hapo ofisini nadhani mdau kaelezea vzuri zaidi.
 
Sawaa muungwana
 
Kwa kukadiria ana umri gani huyo binti [emoji39][emoji39][emoji39]
 
Back
Top Bottom