1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
[emoji44]Ndugu zangu tusaidiane swaga apa kidogo.
Leo ofisini kuna msichana alikuja, mimi nilitoka ile narudi ndo nikamuona pale. kwa ule uzuri nikashindwa hata kusalimia sasa baada ya yeye kuondoka ikabidi nikaangalie namba yake kwenye daftari la maudhurio niko nayo apa sjui nianzaje.
Ushaama kwa bamdogoVp tena
Yaan hapo ungejua ungemface moja kwa moja alivyokuja hapo ofisini kwenu,unajua kuna watu huwa hawarespond namba ngeni(kama ukimchek kupitia simu) kama hakuna maelezo ya kutosha i.e kutuma msg mambo,hi wengne huwa wanakula buyu tu .coz kama hvyo msichana mzuri msg kama hzo kashazoea anapata kila siku na ndomana wanaume wengi wanapata namba ya pisi kali lakn anaishia kumkosa...usikute muenekano wako ungekubeba u never know so next time ukiona pisi umeilewa mface tuUnipe ujuzi sasaa
Ok.Duuh bado mzee
Sawaa muungwanaYaan hapo ungejua ungemface moja kwa moja alivyokuja hapo ofisini kwenu,unajua kuna watu huwa hawarespond namba ngeni(kama ukimchek kupitia simu) kama hakuna maelezo ya kutosha i.e kutuma msg mambo,hi wengne huwa wanakula buyu tu .coz kama hvyo msichana mzuri msg kama hzo kashazoea anapata kila siku na ndomana wanaume wengi wanapata namba ya pisi kali lakn anaishia kumkosa...usikute muenekano wako ungekubeba u never know so next time ukiona pisi umeilewa mface tu
By the way kwa hii case yako naona kuna mdau huko juu katoa ushauri mzuri kwamba ujifanye unampigia simu kama kumuulizia kama kapenda huduma za hapo ofisini nadhani mdau kaelezea vzuri zaidi.
[emoji56]Amnaa naitaj maisha ya mapenzi
kama yupo dsm nipe uone watu tunavojua kucheza na Wrong number...Aaa ila wewe ndo sio mtu
Ijaribu kuipigia hyo namba inapatikana?24 _ 26
OkFanya ivo sasa