Naanzaje kumtongoza huyu msichana aliyekuja ofisini kwetu?

kama salaam ulishindwa, sikushauri ulianzishe mdau!

ila kama unaamini game lako, jitumbuize tu!
 
Niliwahi kuhisi kama malimbukeni wa type hii walishaisha kumbe bado tunao.Yaani mtu akiongelea kutongoza sijui namuonaje mimi?.Kwani lazima kila mwanamke mzuri umtongoze
 
Haki hujampenda. Umemtamani. Mpaka ujue kama ni aina ya mtu unayemtaka hapo ndipo unapenda.
 
Hadi mtongozo unaomba msaada mkuu? Siku utaomba msaada hadi jinsi ya kula mbususu wewe🤔, be a man funguka umempenda kwani atakupiga?
 
Hadi mtongozo unaomba msaada mkuu? Siku utaomba msaada hadi jinsi ya kula mbususu wewe🤔, be a man funguka umempenda kwani atakupiga?
ha ha ha mwanzo huwa ni mgumu,ila wakishazoeana na kuchapana sana,na mambo ya kulipa bili/mizinga yakianza....lazima waanze kukimbiana
 
Mtumie sms ukionyesha imeenda kwake kimakosa,mfano ukiigiza kumshtumu rafiki yako x , '' We x mambo vipi, nakumbushia deni langu lile ulilochukua spea za gari yako ofisini kwangu, mwezi wa tatu huu hutaki kunilipa; nakuomba ujitahidi kunilipa nisijekufirisika kwenye biashara yangu.'' baada ya kuituma tulia,kama hakuna 'reaction' yoyote,baada ya masaa 3 kupita,jaribu kumkumbusha tena kwa sms........ukiona kimya baada ya nusu saa kupita,piga simu....na akipokea nadhani atasema umekosea namba,sasa hapo muombe samahani na anza kuanzisha uhusiano. Hakuna 'ke' anayependa shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…