technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Huyu ndiye wa mwisho na yeye Nampa siku 30 mpaka 60 za kumalizia.
Hatokuja tena kutokea mtu kutoka Zanzibar kutawala Tanzania.
Nasema haitakuja kutokea Tena na naapa
Ndio maana Nyerere hakuruhusu huu ujinga Maana Mwinyi hajawai kuwa Mzanzibar amezaliwa Mkuranga.
Kikwete na Magufuli mliwakosea Sana Watanzania
Ila nawaambia huyu mtu wenu hatoboi!! it's over over over!!
Kuna kitu nilikiandika mkutaka kusoma.siku kupata uraisi tu baada ya kifo cha JPM na kwenda kwa wajomba zake oman kulikuwa kuna nini.
kwa nini wa oman waliondolewa kwa mapinduzi na kwa nini ni wajomba zake wapo kule ina maana kuna hasira ambayo watanganyika kuna siku mtaiona wazi sasa.
Sioni shida akiongoza Muislam. Tatizo ni muislam wa Zanzibar. Wazanzibar hawajawahi kuheshimu watanganyika kamwe.Kwenu akiongoza Muislamu ni kosa japo sio wote
Kunywa pombe kupita kiasi ni hatari kwa afya/ kuvuta bange kupita kiasi ni hatare kwa afya yako.Mama yupo sana kama humtaki chimba shimo wakufukie
Acheni udini bhana,Kwenu akiongoza Muislamu ni kosa japo sio wote
Mama 5 tena hii haina maswaliKunywa pombe kupita kiasi ni hatari kwa afya/ kuvuta bange kupita kiasi ni hatare kwa afya yako.
Kafie kuzimuMama yupo sana kama humtaki chimba shimo wakufukie
Gwajima amekua muongeaji kipindi cha mama, wakati wa magu ulishahi kumsikia akipaza sauti? Mauaji ya watu wasiojulikana ulishamsikia akimkoromea magu?Acheni udini bhana,
Suala siyo dini ya mtu, kwani JPM hakukosolewa?
Ni kwanini huyo huyo Gwajima alipimwa mkojo awamu ya 5 kama siyo ukosoaji?