Naapa kuachana na CCM

Wewe hufai kabisa, inamaana usingekosa mkopo ungendelea kuiunga mkono? Haya mengine yanayondelea Nchini kwako sio sababu ya kutoiunga mkono CCM ila tu kukosa mkopo?
 
Watu wanatekwa umekaa kimya, zinaletwa kodi kandamizi umekaa kimya...

Leo umekosa hela ya pombe kitambaa cheupe unaanza mayowe. Kula chuma.
 
Uamuzi kama huu niliuchukua February 5 mwaka 1984 na sijawahi kuujutia
 
Wewe hufai kabisa, inamaana usingekosa mkopo ungendelea kuiunga mkono? Haya mengine yanayondelea Nchini kwako sio sababu ya kutoiunga mkono CCM ila tu kukosa mkopo?
Tulia dogo mambo ni mengi ila nimeongea main point ilionigusa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…