kaa chini
JF-Expert Member
- Jun 4, 2022
- 1,935
- 4,048
Wewe hufai kabisa, inamaana usingekosa mkopo ungendelea kuiunga mkono? Haya mengine yanayondelea Nchini kwako sio sababu ya kutoiunga mkono CCM ila tu kukosa mkopo?Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza mimi Raia mtanzania ninaapa kutokuiunga mkono CCM chini ya Samia kwa kutukosesha mikopo wanafunzi wa vyuoni na wengine tumeishafika chuo tukitegemea tungepata walau boom itusaidie maisha ya chuo, kwa maandamano yoyote ya kuipinga serikali nitaunga mkono Chama chochote cha upinzani.