Naapa mbele ya Mungu, Yanga ikiifunga TP Mazembe Leo najiondoa rasmi JamiiForums


Kichwa kikubwa Ubongo wa nzi,,,
Mpira sio rede
 
Simba akifunga hata goli moya hii michuano nahara apa na kimara
 
Ungeahidi kutowa takoo ndio ningekuelewa, lakini ID si unazo 10 hizi?
 
Kama hadi leo unatolewa marinda na huoni shida, kujiondoa kwako jf si jambo la kutushangaza
 
Mpira unadunda

ila kamwe hauwezi shinda mechi kwa kutanguliza mak#lio uwanjani🚶
 
Si utafungua account nyingine tupe ahadi ya video mfano "unakata gogo Kkoo ".

Hiyo nyepesi kabisa, kwani unatengeneza email nyingine na unajisajili upya kwa jina lingine.
 
Maamuzi yako mtoa mada ni magumu sana, kwa sababu uwanjani, lolote linaweza kutokea.

Lakini hilo halionndoi ukweli kwamba timu hizi ni vilaza, japo kwa maneno ya kujisifu zinaongoza.

Hakika, mpira ungekuwa ni maneno mdomoni, Simba na Yanga zingekuwa mabingwa wa dunia.
 
Ni upumbavu kujiaminisha kipumbavu , kitu kinachoitwa mpira chochote kinaweza kutokea Leicester City alichukua ubingwa wa EPL, Simba aliwahi kutolewa FA na mashujaa , Saudi kamfunga Argentina nk
Aje na ile id yake ya zamani sio hii mpya.
 
We si ndo umeandika ule Uzi kwamba jana Simba imehujumiwa? Jiondoe tu saivi maana huna faida
 
Uje na ID mpya 🤓🤓

Yanga kuifunga TP ni sawa na Mende kuangusha kabati😊😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…