Naapa mbele ya Mungu, Yanga ikiifunga TP Mazembe Leo najiondoa rasmi JamiiForums

Hiyo ahadi ndogo ahidi kitu kingine kizuri zaidi
 
Basi kama huwaheshimu yanga em jaribu kuheshimu mpira.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuko pamoja.
 
Kusanya virago mapema Mkuu.
Kwanza siyo mkuu nimekupa heshima ya bure.
Mwoga hastahili ukuu
 
Yanga 2-1 Tp Mazembe

Hii naiweka hapa usiseme sikukwambia...
 
We bwege jiandae kutuaga humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…