Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nimemsikia ila hicho ulicho kiandika na alichosema ni tofauti.Labda kama hukuelewa alichoongea.
Hujui mpira mbona Musa na msuva walipewa pamoja huko ulaya hata mue wanne mnapewaNdio Mara ya kwanza naona dhawadi hii inatolewa kwa watu wawili. Hivi vigezo vya Fifa vimeshindwa kufuatwa kweli?[emoji849]
Hii dhawadi alistahili Saidoo tu
Mbona nipo na tizama, sijasikia hapa.
tv gani inaonyesha?
Azam Sport 1.tv gani inaonyesha?
Saidoo kamzidi Mayele magoli mangapi?Ndio Mara ya kwanza naona dhawadi hii inatolewa kwa watu wawili. Hivi vigezo vya Fifa vimeshindwa kufuatwa kweli?🙄
Hii dhawadi alistahili Saidoo tu
Vya Fifa vipoje ??Ndio Mara ya kwanza naona dhawadi hii inatolewa kwa watu wawili. Hivi vigezo vya Fifa vimeshindwa kufuatwa kweli?🙄
Hii dhawadi alistahili Saidoo tu
Kwa hiyo akisema hivi ndio anakuwa amethibitisha kuondoka?
Hauko serious.Ndio Mara ya kwanza naona dhawadi hii inatolewa kwa watu wawili. Hivi vigezo vya Fifa vimeshindwa kufuatwa kweli?[emoji849]
Hii dhawadi alistahili Saidoo tu
Kwa stage nliyopo mpira hauniumizi tena! Kitu pekee Cha kunitesa ni hela na nyeg* tu!Km unaumiaaa poleeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Basi relaaaaaaaxxx mdogo angu.Kwa stage nliyopo mpira hauniumizi tena! Kitu pekee Cha kunitesa ni hela na nyeg* tu!
Sijapenda!😁 Usiku mwema!mdogo angu.
Hivi kiungo Bora na mchezaji Bora vina tofauti?Fiston mayele
Ufungaji bora
Mchezaji bora.
Kipengele cha pili ni Assist na tatu idadi ya mechi. Kwa hivi Saidoo kamzidi MayeleVya Fifa vipoje ??
Kabisaa🙏wameona gongowazi watapiga keleleMayele wamemwonea huruma...
Eh we upo wapi? Fuata vigezo pale wachezaji wanapokuwa wana idadi ya magoli sawa ya kufunga. Hicho ndicho ninachokiongelea hapaSaidoo kamzidi Mayele magoli mangapi?
Assist ni goli? Idadi ya mechi ni magoli?Kipengele cha pili ni Assist na tatu idadi ya mechi. Kwa hivi Saidoo kamzidi Mayele
Sina haja ya kukujibu dogo.Assist ni goli? Idadi ya mechi ni magoli?
Vina tofauti,Hivi kiungo Bora na mchezaji Bora vina tofauti?
Tuzo zamayele ni heavy achana nahizo zasaidoo et fair playNtibanzokiza tuzo 3
Mayele tuzo 3
Mkalaleee sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]