tony92
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 2,398
- 3,691
Kipindi Msuva na Abrahaman mussa wanapewa tuzo wote ulikua ujaanza shabikia mpira?Ndio Mara ya kwanza naona dhawadi hii inatolewa kwa watu wawili. Hivi vigezo vya Fifa vimeshindwa kufuatwa kweli?🙄
Hii dhawadi alistahili Saidoo tu
Juzi tu hapa Aubamayang , mo salaah na son wamepewa wote hukuona?