Na timu yake ya WananchiMayelee kapata
Ufungaji bora
Uchezaji bora
Goal bora
Wamefika final CAF
Wamechukua ubingwa NBC PL
Wamechukua ubingwa wa FA
Wamechukua Ngao ya jamii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na timu yake ya WananchiMayelee kapata
Ufungaji bora
Uchezaji bora
Goal bora
Kweli kabisa, yule dogo ni top middle my sonNext season MVP na AUCHO, coz atakuwa chumvi zaidi ya msimu huu na jamaa basi tu, lkn ni top middle hapa bongo kwa nafasi yake....nyota tu kakosa, yy na mzamiru
Nabi anaondoka, na Kocha wa makipa na viungo.Kwa hiyo akisema hivi ndio anakuwa amethibitisha kuondoka?
Sasa huyo kathibitisha, kwenye mpira tetesi kitu cha kawaida, kwa hiyo kutoka kwenye kuthibitisha mpaka tetesi.
SawaSasa huyo kathibitisha, kwenye mpira tetesi kitu cha kawaida, kwa hiyo kutoka kwenye kuthibitisha mpaka tetesi.
Maanake kama tetesi hata Ricardo Momo nae leo kapost, Nabi anatakiwa na timu nne, ila kaipa nafasi ya kwanza Yanga na ametoa na conditions zake.
Poa.Sawa
SawaaaahNa timu yake ya Wananchi
Wamefika final CAF
Wamechukua ubingwa NBC PL
Wamechukua ubingwa wa FA
Wamechukua Ngao ya jamii
Huko ndio kuthibitisha.Kwahiyo mpaka hivi ndio utaamini?View attachment 2657885
Siku zote kenge mpaka damu zimtoke kichwani ndio aelewe. English simple kama ile unashindwa kujiongeza halafu hata kama alikuwa na mpango wa kubaki asingeweza kuongea ile kauli. Baada ya kuongea vile 100% nilijiridhisha anaondoka.Upewe maua yako
UTO bin kabwili walikuwa wanabisha sijui ni WAHA