Nabi amethibitisha kuondoka

Nabi amethibitisha kuondoka

Ndio maana nikakwambia basi na scenario nimekupa.
Soma hii
Screenshot_20230614_195117_Instagram.jpg
 
Sasa huyo kathibitisha, kwenye mpira tetesi kitu cha kawaida, kwa hiyo kutoka kwenye kuthibitisha mpaka tetesi.

Maanake kama tetesi hata Ricardo Momo nae leo kapost, Nabi anatakiwa na timu nne, ila kaipa nafasi ya kwanza Yanga na ametoa na conditions zake.
Sawa
 
Upewe maua yako
UTO bin kabwili walikuwa wanabisha sijui ni WAHA
Siku zote kenge mpaka damu zimtoke kichwani ndio aelewe. English simple kama ile unashindwa kujiongeza halafu hata kama alikuwa na mpango wa kubaki asingeweza kuongea ile kauli. Baada ya kuongea vile 100% nilijiridhisha anaondoka.
 
Back
Top Bottom