Nabi amethibitisha kuondoka

Vina tofauti,

Uchezaji bora MVP ni kubwa kuliko chochotee.
Humu unatakiwa kuwa mvumilivu. Yaani Mtu anaamini Hakuna tofauti Kati ya kiungo Bora na mchezaji Bora? Tuvumiliane tu.
 
Humu unatakiwa kuwa mvumilivu. Yaani Mtu anaamini Hakuna tofauti Kati ya kiungo Bora na mchezaji Bora? Tuvumiliane tu.
Basi hapo rohoo kwatuu mwenyewee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nacheka ulivyokua unajifanya Neutral, kumbe shabiki wa utopoloo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…