Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 7,225
- 9,830
Alama za nyakati??? What do you mean! Kwamba wanabahatisha au? Mkuu kama una IMANI YA MUNGU basi you must trust them!!!Don't trust them wanacheza na alama za nyakati.
Sio LAZIMA uelewe kila kituAiseee hata sijaelewa
Nahisi wanajuzwa pia na mapuppet kinachoendelea mjengoniDon't trust them wanacheza na alama za nyakati.
Kama Mtu amezoea kutumia hirizi na uganga hawezi kuelewa.Sio LAZIMA uelewe kila kitu
Wanasoma mchezo unavyoenda. Shortly wanabahatishaAlama za nyakati??? What do you mean! Kwamba wanabahatisha au? Mkuu kama una IMANI YA MUNGU basi you must trust them!!!
Upo sahihi. Halafu wanajificha kwenye kivuli cha maono. Nonsense kabisa.Nahisi wanajuzwa pia na mapuppet kinachoendelea mjengoni
Bullshit… Hivi wapumbavu wa aina hii sijui wanatuonaje sisi. Mtu hakuweza kuona hata fate ya uwenyekiti wa Mbowe, leo atatuambia nini tumsikilize?
View: https://youtu.be/ZRtV1GTdV3c?si=FZ-HmvFAe2Ezv5Tr
Nabii Rolinga alitoa unabii wa kifo cha JPM miezi 3 kabla na ikatokea to the dot. Msikilize unabii wake tena kuhusu Chaguzi Mkuu wa 2025 na kitakacho tokea. Bado Mungu anatumia watu wake. Tatizo ni kibri cha Watawala wa CCM.
View: https://youtu.be/je-xwOIXXA4?si=3L9vgg58MnGREG3O
Hapo namwona Gwajiboy na mtu nisiye mfahamu mwingine,japo nafikiri ni nabii na mtume mwenzieeAiseee hata sijaelewa