Fomu gani ya unabii na utume au?Washasema fomu ni moja
🤣🤣🤣 Mbona hasira...wamekufanyaje mkuuUpo sahihi. Halafu wanajificha kwenye kivuli cha maono. Nonsense kabisa.
Ya muheshimiwa daktari awamuFomu gani ya unabii na utume au?
Video dakika 24 mkuu , na hiyo nyingine sjui dakika ngapi ---Aliyefungua video atutafsitrie
Husapoti miujiza mkuu?Upo sahihi. Halafu wanajificha kwenye kivuli cha maono. Nonsense kabisa.
Wanaibia watu kwa mgongo wa maono na miujiza feki. Hakuna kuwachekea hawa watu. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Mbona hasira...wamekufanyaje mkuu
Aisee !! Uyo Gwajiboy atakuwa rais wa wapi sasa?👿Hapo namwona Gwajiboy na mtu nisiye mfahamu mwingine,japo nafikiri ni nabii na mtume mwenziee
Kondoo wanapotea kwa hiyo miujiza feki.Husapoti miujiza mkuu?
Umeambiea Sa100 anaenda kudhalilishwa dunia nzima ...uchi...maana yake aibu kuuAiseee hata sijaelewa
Hata aliye na bando msàada kwenye tuta!Aliyefungua video atutafsitrie
Wanatabiri vitu vinavyongelewa karibu na kila mtu, miujiza ije out of nowhere au sio?Kondoo wanapotea kwa hiyo miujiza feki.
Creating a backdoorHuu sio utabiri bali ni ujanja. AKIFA: watu wanaamini alitabiri. KISIPOTOKEA CHOCHOTE: watu wanaamini ni kwa sababu aliombewa.
Kama kale kakikundi ka mafisi sio?Wanaibia watu kwa mgongo wa maono na miujiza feki. Hakuna kuwachekea hawa watu. 🤣🤣🤣
Wajanja tu wanacheza na nyakati.Wanatabiri vitu vinavyongelewa karibu na kila mtu, miujiza ije out of nowhere au sio?
Fatilia. Utaujua ukweli wa hawa wanaojiita manabii.Kama kale kakikundi ka mafisi sio?
View: https://youtu.be/ZRtV1GTdV3c?si=FZ-HmvFAe2Ezv5Tr
Nabii Rolinga alitoa unabii wa kifo cha JPM miezi 3 kabla na ikatokea to the dot. Msikilize unabii wake tena kuhusu Chaguzi Mkuu wa 2025 na kitakacho tokea. Bado Mungu anatumia watu wake. Tatizo ni kibri cha Watawala wa CCM.
View: https://youtu.be/je-xwOIXXA4?si=3L9vgg58MnGREG3O