gwajima huyu huyu au yule mwanamke?In Summary kwamba ameonyeshwa kuwa Samia hajapewa kibali cha kuendelea hivyo anapaswa kumkabidhi Gwajima kupitia chadema kuwa mbowe ameonyeshwa kuwa Gwajima ndio mgombea kupitia chadema Samia ataangushwa kupitia yesu ya kristo. Samia atadhalilika na atakuwa mwenye hoja dhaifu. Amesisitiza Mbowe ampokee Gwajima kuwa mgombea. Lakin naona huyo mbowe kwa sasa hana nguvu hiyo ya kumleta Gwajima chadema kwani Chadema chini lisu sidhani kama inaweza kumpokea mwan ccm na kuwa mgombea
View: https://youtu.be/ZRtV1GTdV3c?si=FZ-HmvFAe2Ezv5Tr
Nabii Rolinga alitoa unabii wa kifo cha JPM miezi 3 kabla na ikatokea to the dot. Msikilize unabii wake tena kuhusu Chaguzi Mkuu wa 2025 na kitakacho tokea. Bado Mungu anatumia watu wake. Tatizo ni kibri cha Watawala wa CCM.
View: https://youtu.be/je-xwOIXXA4?si=3L9vgg58MnGREG3O
Sasa mbona ni kama unashangaa?Aiseee hata sijaelewa
Aiseee hata sijaelewa
Nyani atatema bungoAiseee hata sijaelewa
Kwamba anakwenda na majiSi rahisi ,si rahisi , si rahisi ,akamaliza.
Nimecheka kijinga
Nyani atatema bungoMakamanda msipofungua hiyo video hapo CCM haitotoka madarakani.😂🤣
RabbonTunaompenda Askofu, Mh Dr Josephat Gwajima niwaambie ukweli mchungu,
Kwa katiba hii hata agombee upinzani hawezi kushinda,
Labda katiba iwe nyingine.
Je Tanzania imewahi kuwa na Rais nje ya Wakristo waumini wa Roman Catholic au Waislam waumini wa Sunni?
Leo Kipentekoste Deep State wakubali awe rais?
Aya jambo la pili, kwenye mambo ya uongozi wa nchi, Josephat Gwajima amewahi kuwa naibu Waziri au waziri kamili?
Ni rais yupi Tanzania kawa Rais bila ya kupitia wizara kadha wa kadha?
Point zako zote ni nyepesi, we ulijua nchi itaongozwa na wanamke.Tunaompenda Askofu, Mh Dr Josephat Gwajima niwaambie ukweli mchungu,
Kwa katiba hii hata agombee upinzani hawezi kushinda,
Labda katiba iwe nyingine.
Je Tanzania imewahi kuwa na Rais nje ya Wakristo waumini wa Roman Catholic au Waislam waumini wa Sunni?
Leo Kipentekoste Deep State wakubali awe rais?
Aya jambo la pili, kwenye mambo ya uongozi wa nchi, Josephat Gwajima amewahi kuwa naibu Waziri au waziri kamili?
Ni rais yupi Tanzania kawa Rais bila ya kupitia wizara kadha wa kadha?
Do kumbuka L ndo inaanza na kufuatiwa na PWengi wao taarifa hupewa na watu wa system, waulize hao manabii wa Tanzania ni yupi alitabiri kifo Cha Papa Francis kitatokea mwezi wa Aprili?
Na pia waambieni ndani ya siku hizi 5 watabiri exactly bila kona kona Papa mpya ni yupi? Kati ya Cardinal Luis Antonio Gokim Tangle kutokea Asia na Cardinal Pietro Parolin kutokea Italy wamtaje mmoja tu.
Mkuu @47mbatizaji kwa nini ukasema hivyo kwamba Italy ngumu kupata awamu hii?Do kumbuka L ndo inaanza na kufuatiwa na P
Italy inanafasi ndogo ya kuchuku, japo ni nyumbani
Ni rais yupi kunzia wa pili hadi wa 6 ambaye hajapitia kwenye uongozi wa kiserikali?Point zako zote ni nyepesi, we ulijua nchi itaongozwa na wanamke.
2 .kwako mtu kupita wizara flan ndo kigezo cha kuwa Rais , msiwe mnakurupuka kuandika andika msiyoyajua
Mbona nimejieleza mkuu. apo kuna p na L , so p na L nani anatanguila mwenzake?Mkuu @47mbatizaji kwa nini ukasema hivyo kwamba Italy ngumu kupata awamu hii?
OkMbona nimejieleza mkuu. apo kuna p na L , so p na L nani anatanguila mwenzake?