Nabii aliyetabiri kifo cha JPM ametabiri haya Uchaguzi Mkuu 2025

Nabii aliyetabiri kifo cha JPM ametabiri haya Uchaguzi Mkuu 2025

Alama za nyakati??? What do you mean! Kwamba wanabahatisha au? Mkuu kama una IMANI YA MUNGU basi you must trust them!!!
Watu wameshabadili kete.........ukijua namna wanavyofanya kazi...............upenyo walioupata mwanzo umeshazibwa
 
Nabii Rolinga alitoa unabii wa kifo cha JPM miezi 3 kabla na ikatokea to the dot. Msikilize unabii wake tena kuhusu Chaguzi Mkuu wa 2025 na kitakacho tokea. Bado Mungu anatumia watu wake. Tatizo ni kibri cha Watawala wa CCM.
Kuna mwaka Kakakuona alitabiri mambo fulani ikabidi wamuue kwa kusema ukweli
 
Imebidi niangalie utabiri wake kwa kina
anasema
1. Watatokea wapinzani ndani ya ccm ambao watakuwa wapinzani na kutumia fedha nyingi kumpinga mama
2. Uchaguzi utakuwa mgumu pengne jeshi kuingilia kati
3. Nchi za nje kuingilia kati wengine kwa mazuri wengine kwa ila na kutamani maliasili za nchi
4. Wapo wanaojipanga ktk urais na kuwafanyia wenzao uovu lakini MUNGU ndiye muweza na mpangaji wa yote
5. Yapo majina matatu maarufu wenye ushawishi ktk harakati za uchaguzi
6. Waumini wake wakae pembeni kwa wale watakao kuwa na nia ya kugombea. Watapoteza fedha zao bure, wasubiri hd 2026
 
In Summary kwamba ameonyeshwa kuwa Samia hajapewa kibali cha kuendelea hivyo anapaswa kumkabidhi Gwajima kupitia chadema kuwa mbowe ameonyeshwa kuwa Gwajima ndio mgombea kupitia chadema Samia ataangushwa kupitia yesu ya kristo. Samia atadhalilika na atakuwa mwenye hoja dhaifu. Amesisitiza Mbowe ampokee Gwajima kuwa mgombea. Lakin naona huyo mbowe kwa sasa hana nguvu hiyo ya kumleta Gwajima chadema kwani Chadema chini lisu sidhani kama inaweza kumpokea mwan ccm na kuwa mgombea
 
Back
Top Bottom