Nabii aliyetabiri kifo cha JPM ametabiri haya Uchaguzi Mkuu 2025

Ni kweli anayeoneshwa maono ya hivi na Mungu huwa anatumwa kwenda kwa mhusika directly kama kumuonya n.k
Kuna namna huwa tunapangwa!
111111... Gwajima.png

Mimi huwa siwaamini hawa mitume na manabii ila huyu jamaa ananifikirisha,,,, miezi miwili iliyopita alisema RC watakuja na waraka wa kuharibu mambo, na CCM wataparaganyika vibaya mpaka mama atatenguliwa na Rais atatoka kwenye kundi dogo la kidhehebu,, kwahiyo hatokuwa RC wala Islam... Hapo ndo Gwajima anapoingia... 😄 😄 😄

Ngoja niendelee na bange zangu...🚬🚬
 
View attachment 3346182

🤣🤣
 
Back
Top Bottom