Mwamba 777
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 2,780
- 4,504
Nini wewe umbea tuuu muoneMungu wangu T,true?
Nini wewe umbea tuuu muoneMungu wangu T,true?
Yes Kuna mtu atasepa akilazimisha muhula usiomhusuMungu wangu T,true?
HatoboiVipi hajasema lolote kuhusu huyu wa sasa maana amekuwa mwovu kuliko Magufuli.
Yeah sure,hamhusuYes Kuna mtu atasepa akilazimisha muhula usiomhusu
Maana muhula haumhusu huu
Muhula unahitaji mtu mwingine, SS tatizo Wana force kuendelea wakati sio nyakati zaoNi mwanamke , ni mzenji --- huu utabiri upo wazi sana kwa watanzania bara --- hii 2025 itaonyesha wazi hali ya siasa ya nchi hii
fomu ni moja mkuu 🤣 --Muhula unahitaji mtu mwingine, SS tatizo Wana force kuendelea wakati sio nyakati zao
Maana Kila kitu utabiri🙌
Itapendeza zaidiHatoboi
Atasepa tu
Balaaa ndo lipo hapofomu ni moja mkuu 🤣 --
Huna bandoAiseee hata sijaelewa
muda utasema kipi ni kipiBalaaa ndo lipo hapo
SS ngoja twende tuone 😂😂
Mpk July hapo kitakuwa kimeeleweka
Yes yesmuda utasema kipi ni kipi
View: https://youtu.be/ZRtV1GTdV3c?si=FZ-HmvFAe2Ezv5Tr
Nabii Rolinga alitoa unabii wa kifo cha JPM miezi 3 kabla na ikatokea to the dot. Msikilize unabii wake tena kuhusu Chaguzi Mkuu wa 2025 na kitakacho tokea. Bado Mungu anatumia watu wake. Tatizo ni kibri cha Watawala wa CCM.
View: https://youtu.be/je-xwOIXXA4?si=3L9vgg58MnGREG3O
RamliAiseee hata sijaelewa
Dah Aisee hii itakuwa fedheha mimi ni muislam na simpingii Unabii wake kwasababu sielewe lolote kuhusu ilo na juu ya dini yake ila kwa Gwajima akiwa Raisi basi Tz itakuwa Fedheha ya hali ya juu na video yake akimtomba yule itaanza kusambaa tena. Shida sio yy kuwahi kuwa waziri au dini yake Gwajima shida ni unadhifu wa sifa zake na heshima yake 😂😂😂 DahYupo kazini anatafuta mkono uende kinywani,. Hakuna lolote