Kwa machawa ni wapiga ramli!!Hao wapiga ramli tu
Feel free to be fooled. Mungu kama hataki mtu fulani afanye jambo fulani hana utamaduni wa kumtumia mtu mwingine kupeleka maneno ya vitisho kwa mlengwa.Usitake kumpangia Mungu cha kusema au kutoa unabii, lini, wapi na wakti gani!! Usifikiri kila kitu kinachotokea lazima Mungu atoe unabii! Sijui kama unaelewa!
View: https://youtu.be/ZRtV1GTdV3c?si=FZ-HmvFAe2Ezv5Tr
Nabii Rolinga alitoa unabii wa kifo cha JPM miezi 3 kabla na ikatokea to the dot. Msikilize unabii wake tena kuhusu Chaguzi Mkuu wa 2025 na kitakacho tokea. Bado Mungu anatumia watu wake. Tatizo ni kibri cha Watawala wa CCM.
View: https://youtu.be/je-xwOIXXA4?si=3L9vgg58MnGREG3O
Kuondoka lzm ila sidhani km huyu kasemaWenye bundle na mnaofahamu Kiingereza mtusaidie basi. Amesemaje? Na huyu naye ataondoka?
Wala ht shehe yahya alitabiri😂Don't trust them wanacheza na alama za nyakati.
Huwezi kuelewa akili yako ni kibabaAiseee hata sijaelewa
Tembelea utubeNahisi wanajuzwa pia na mapuppet kinachoendelea mjengoni
😂😂Ya kitambo hiiAlitabiri lini mbona mwatunga story za chumbani
mi nasema watanzania -- we unasema all mankindYou know what? Only God, The Lord Jesus Christ sacrifices His Life to all mankind. Not a man called Magufufuli a.k.a Jiwe!
Kwanza mleta mada amechanganya Madesa, wa juu sio Rolinga, hawa ni watumishi 2 tofautiAiseee hata sijaelewa
View: https://youtu.be/ZRtV1GTdV3c?si=FZ-HmvFAe2Ezv5Tr
Nabii Rolinga alitoa unabii wa kifo cha JPM miezi 3 kabla na ikatokea to the dot. Msikilize unabii wake tena kuhusu Chaguzi Mkuu wa 2025 na kitakacho tokea. Bado Mungu anatumia watu wake. Tatizo ni kibri cha Watawala wa CCM.
View: https://youtu.be/je-xwOIXXA4?si=3L9vgg58MnGREG3O
Ni mwanamke , ni mzenji --- huu utabiri upo wazi sana kwa watanzania bara --- hii 2025 itaonyesha wazi hali ya siasa ya nchi hiiTembelea utube
Kuna watumishi 3 tofauti na huyu wameongea issue zote zinazotokea na kuendelea mpk uchaguzi Tena ni last yr sio sasa!
Achana na huyu ndo utaelewa nn kinaendelea
Na utaelewa Kuna mtu ataondoka 😂
Ulienda Kisutu Jana? 😁🇹🇿Huwezi kuelewa akili yako ni kibaba
Mungu wangu T,true?Tembelea utube
Kuna watumishi 3 tofauti na huyu wameongea issue zote zinazotokea na kuendelea mpk uchaguzi Tena ni last yr sio sasa!
Achana na huyu ndo utaelewa nn kinaendelea
Na utaelewa Kuna mtu ataondoka 😂
😂😂Wala ht shehe yahya alitabiri😂
Ht lema alisema ye hakutabiri
HeheheeKwamba gwajima ndio awe Rais?hizo bangi hizi zimezidi zangu