4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
Umebeba fikra tu, Rais ni taasisi, ndo maana kunatakiwa kuwepo na sheria ya Mgombea binafsi , hii ya kusema kila mtu awe amepia serikalini ni mfumo wa kubebana tu .Ni rais yupi kunzia wa pili hadi wa 6 ambaye hajapitia kwenye uongozi wa kiserikali?