Mimi huwa siwaamini hawa mitume na manabii ila huyu jamaa ananifikirisha,,,, miezi miwili iliyopita alisema RC watakuja na waraka wa kuharibu mambo, na CCM wataparaganyika vibaya mpaka mama atatenguliwa na Rais atatoka kwenye kundi dogo la kidhehebu,, kwahiyo hatokuwa RC wala Islam... Hapo ndo Gwajima anapoingia... π π π