Nabii Clear Malisa ana mpango wa kuinunua Ubungo Kibangu yote, kuivunja na kujenga mji wake wa kisasa.

Nabii Clear Malisa ana mpango wa kuinunua Ubungo Kibangu yote, kuivunja na kujenga mji wake wa kisasa.

Nabii kijana Clear Malisa amedhamiria kuinunua Ubungo Kibangu yote akianzia Riverside hadi kwenye mpaka wa kambi ya Jeshi la Wananchi.

Tayari ameahidiwa fungu kubwa la pesa na Baba wake wa Kiroho aliyeko Marekani.

Pia michango inawndelea kuchangwa na kupokelewa hapo kanisani kwake Kingdom Embassy.

Wananchi wote mnahamasishwa mkachangie kwa moyo mmoja, toa sadaka yenye kuuma, toa kwa moyo mmoja na wala USIULIZEULIZE.

NB:-
Ndani ya mji huo kutakuwa na shopping malls, Hotel za kifahari, hospitali, na shule.

Pia kutakuwa na uwanja mdogo wa ndege kwa ajili ya wageni wanaotaka kwenda kwenye vivutio mbalimbali vya utalii wakitokea kweñye mji huo wa Malisa.
Wajinga ndiyo waliwao, wajenga kwa mwenzako kwako kunabomoka
 
Sio rahisi kihivyo, kuna mahali SBS alinyimwa eneo ndio nikajua serikali ni zaidi ya uijuavyo. Kumbe hata matajiri na pesa zao zote kuna watu wanashindwa kuwanunua.
 
Back
Top Bottom