Watu wanafikiri ukiwa nabii sijui mtume ndo hawezi kukosea...mitume wengi na manabii ukisoma maandiko utaona walikosea na wakatubu na kusamehemewa...lkn niw days watumishi km wakikosea baadala ya kuwaombea Wapate rehema zaidi wasimkosee mungu bali huchukua jukumu la Mungu la kuwahukumu.
Ni makosa makubwa sana sana kujaribu kuwafananisha kwa namna yeyote yule manabii wa zamani na wa sasa...!!!
Neno liko very clear kuwa nyakati za mwisho watatokea manabii wa uongo watakaokuwa na uwezo hata wa kutenda miujuliza mbalimbali ikiwemo kuhamisha milima lakini tunaambiwa ya kwamba TUSIWAAMINI HAO....!!!
Huyo nabii wako ametubu wapi?
Wapinga uwepo wa Mungu ukiwafikisha hapo wanakaa kimya
Nabiii huku umedinda mi ndio maana ukiniletea umbweha wa kuokoka hata sikuelewi kabisa
Dah! Hii kali ya jana afadhali,hayo uyasemayo ni mafundisho ama? Na je yanafundisha nini? Kwa hiyo uzinzi,mauaji na uchafu woote huo bado ni NABII na mungu alimzawadia na bikra uzeeni ili apate joto. Aikili iliohuru ni ngumu kuzikubali ngano hizo.Hayo Ni matukio tu, kuna nabii katika biblia, David. Huyu mungu alimpenda sana ata ikabidi Yesu aitwe mwana wa Daudi. Katika agano jipya inakumbukwa wakati mungu akikiri " nimempata Daudi mwana wa Yese ambaye moyo wake umenielekea" . Lakini Daudi ni mfalme aliyeua sana hata mungu alikiri alijaa damu mikononi, Daudi alitembea na Mke wa mtu ,na kumuua mume wake, na kupora Mke. Daudi hakujua kulea familia yake ata watoto wake waligegedana na kuuana. Daudi alikua na mtoto Absalom aliyeandaa jeshi la kumpindua na kumuua. Na Absalom alilala na wake wote wa Daudi hadharani juu ya dari na watu waliona, na hata hivyo mungu alikua na Daudi na roho wake mpaka mwisho wa maisha yake. Uzeeni mungu hakumsahau hata alipewa bikira kumpa joto. Sa nyie mnasema nini, itakua iyo ya Joe Davie ya mtelezo, acheni watumishi wa mungu bwana
Dah! Hii kali ya jana afadhali,hayo uyasemayo ni mafundisho ama? Na je yanafundisha nini? Kwa hiyo uzinzi,mauaji na uchafu woote huo bado ni NABII na mungu alimzawadia na bikra uzeeni ili apate joto. Aikili iliohuru ni ngumu kuzikubali ngano hizo.
Sent from my SM-G800H using Tapatalk
Hayo Ni matukio tu, kuna nabii katika biblia, David. Huyu mungu alimpenda sana ata ikabidi Yesu aitwe mwana wa Daudi. Katika agano jipya inakumbukwa wakati mungu akikiri " nimempata Daudi mwana wa Yese ambaye moyo wake umenielekea" . Lakini Daudi ni mfalme aliyeua sana hata mungu alikiri alijaa damu mikononi, Daudi alitembea na Mke wa mtu ,na kumuua mume wake, na kupora Mke. Daudi hakujua kulea familia yake ata watoto wake waligegedana na kuuana. Daudi alikua na mtoto Absalom aliyeandaa jeshi la kumpindua na kumuua. Na Absalom alilala na wake wote wa Daudi hadharani juu ya dari na watu waliona, na hata hivyo mungu alikua na Daudi na roho wake mpaka mwisho wa maisha yake. Uzeeni mungu hakumsahau hata alipewa bikira kumpa joto. Sa nyie mnasema nini, itakua iyo ya Joe Davie ya mtelezo, acheni watumishi wa mungu bwana
Kwa hiyo anamlipizia daudi au sio? Acheni kubebana na kwa kushabikia ujinga kwa kutoa refference za kishenzi na kuzitumia kufanya ufwara wenu nyie walokole mamruki. MUNGU ASHABIKII UJINGA WOWOTE ULE HILO NDIO JAMBO LA KUWEKA KICHWANI .