Nabii Geor Davie rekebisha fundisho lako la uongo!

wewe mwenyewe muongo pia
Ukiweza kuthibitisha uwepo wa huyo Yesu au umwambie huyo Yesu wako ajitokeze hadharani ajidhihirishe mwenyewe kwamba yupo kama ana huo uwezo, Basi mimi nitakuwa muongo.

Otherwise Mnatetea fictional character ambaye hajawahi kuwepo na hayupo kujiongelea mwenyewe na kujidhihirisha mwenyewe kwamba yupo.
 
Fungua moyo wako Yesu aingie

Ufu 3:20​

Tazama, nasimama mlangoni, nabisha; mtu akiisikia sauti yangu, na kuufungua mlango, nitaingia kwake, nami nitakula pamoja naye, na yeye pamoja nami.
 
Hizi ni hekaya umeandika hapa.

Huyo Yesu ajitokeze hadharani mwenyewe ajidhihirishe kwamba yupo, Kama ana huo uwezo.
 
Hakuna fundisho la kweli.

Hata huyo Yesu mnaye hubiriwa habari zake kila kukicha ni UONGO.

Huyo Yesu hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.
Hapo umekosea ndugu. Soma hata secular history tu achana na maandiko ya biblia. Waandishi wa historia wa karne ya kwanza kama Josephus wanamtaja Yesu wa Nazareti kama historical person.
 
Karne ya kwanza ipi?

Miaka ipi?

Miezi ipi?

Siku zipi?

Tarehe zipi?

Na muda upi exactly huyo Yesu ali exist?
 
Hakuna fundisho la kweli.

Hata huyo Yesu mnaye hubiriwa habari zake kila kukicha ni UONGO.

Huyo Yesu hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.
Madai yako kwamba yesu hajawahi kuwepo, yame-base wapi?? Kweny personal beliefs or through history?
 
Trust me ,97% ya wachungaji woote (wa ukwel na wa mchongo) bongo hii, hawa apply HERMANEUTICS..kwanza wemgi wao sio ajaba hata ukakuta hawajui kabisaa kuhusu hilo
 
Kumwita Nabii mtu mwongo na mjinga kama Joseph David Kasambala ni ukosefu wa maarifa.
 
Kifupi kwa sasa kuna hao wahubiri wanajiamini wenyewe sio Mungu wala Kristo

Kuna mwingine mwanzilishi wa Kanisa la Sloam akijiita nabii Eliya Munuo siku hiyo akahubiri akasema yeye hawezi omba kwa kupitia jina la Yesu.Sababu Yesu alikuwa mdhambi mkubwa kuwa hakuna binadamu yeyote alikuwa na dhambi kama Yesu na akasema ana ushahidi wa Biblia kuwa Yesu alibebeba dhambi zote za ulimwengu kuwa hakuna dhambi alishindwa kufanya dhambi zote Yesu alifanya hivyo yeye hawezi omba kwa jina la Yesu mwenye dhambi

Haikuisha hata mwezi akafa

Kuna hao mitume na manabii wengi wa sasa wala sio wakristo na hawana mpango na Ukristo wanawinda pesa tu wengine waislamu,wengine wafanya mazingaombwe wengine waganga wa kienyeji wa kawaida tu ,wengine matapeli tu

Ndio unakuta wanageuza vita za kiroho kuwa za kimwili utasikia wengine wanauza sindano na machingwa bei mbaya kuwa c choma adui yako au tatizo litaisha nk

Biblia inatamka wazi vita zetu sio juu ya damu na nyama ni vya roho huwezi uxuwa panga la kiwandani la kufyeka majani kwa bei mbaya eti hilo ni panga la upako la kufyeka adui zako vita za Kiroho hutumia silala za roho sio mapanga au bidhaa za dukani
 
Eti nabiii 😄

Wajinga waliwao

Ova
Makenzie kule Kenya
Kiboko ya wachawi Buza
Mwingira na ubakaji unaofanyika kwenye shamba lake.
Hivi watanzania mpaka mtoke damu kwenye masikio ndio mjue kwamba yule wa Kawe na Kimara kwenye ndovu Ni matapeli.
Kwani mkienda kwenye makanisa ambayo Ni taasisi hamuokoki?
Muulizeni waziri mstaafu kilichomkuta Buza.
Inasikitisha Sana kuona MTU mzima akiwa Hana maarifa.

Joji Davison Ni tapeli Kama matapeli wengine.
 
Kweli kabisa....wanadam hawasikiii

Ova
 
Hakuna fundisho la kweli.

Hata huyo Yesu mnaye hubiriwa habari zake kila kukicha ni UONGO.

Huyo Yesu hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.

Kama wewe upo kwanini Yesu Kristo asiwepo?.
 
Ukiweza kuthibitisha uwepo wa huyo Yesu au umwambie huyo Yesu wako ajitokeze hadharani ajidhihirishe mwenyewe kwamba yupo kama ana huo uwezo, Basi mimi nitakuwa muongo.

Otherwise Mnatetea fictional character ambaye hajawahi kuwepo na hayupo kujiongelea mwenyewe na kujidhihirisha mwenyewe kwamba yupo.

Wewe una agenda yako. Mada inamuongelea George Davie ila wewe unamshambulia Yesu, Ina maana Kuna shida mahali. Utakuwa na mapepo ambayo yakiona jina la Yesu Kristo yanalipuka.
 
Back
Top Bottom