Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Ukiweza kuthibitisha uwepo wa huyo Yesu au umwambie huyo Yesu wako ajitokeze hadharani ajidhihirishe mwenyewe kwamba yupo kama ana huo uwezo, Basi mimi nitakuwa muongo.wewe mwenyewe muongo pia
Ukiweza kuthibitisha uwepo wa huyo Yesu au umwambie huyo Yesu wako ajitokeze hadharani ajidhihirishe mwenyewe kwamba yupo kama ana huo uwezo, Basi mimi nitakuwa muongo.
Otherwise Mnatetea fictional character ambaye hajawahi kuwepo na hayupo kujiongelea mwenyewe na kujidhihirisha mwenyewe kwamba yupo.
Hizi ni hekaya umeandika hapa.Fungua moyo wako Yesu aingie
Ufu 3:20
Tazama, nasimama mlangoni, nabisha; mtu akiisikia sauti yangu, na kuufungua mlango, nitaingia kwake, nami nitakula pamoja naye, na yeye pamoja nami.
Hapo umekosea ndugu. Soma hata secular history tu achana na maandiko ya biblia. Waandishi wa historia wa karne ya kwanza kama Josephus wanamtaja Yesu wa Nazareti kama historical person.Hakuna fundisho la kweli.
Hata huyo Yesu mnaye hubiriwa habari zake kila kukicha ni UONGO.
Huyo Yesu hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.
Karne ya kwanza ipi?Hapo umekosea ndugu. Soma hata secular history tu achana na maandiko ya biblia. Waandishi wa historia wa karne ya kwanza kama Josephus wanamtaja Yesu wa Nazareti kama historical person.
Madai yako kwamba yesu hajawahi kuwepo, yame-base wapi?? Kweny personal beliefs or through history?Hakuna fundisho la kweli.
Hata huyo Yesu mnaye hubiriwa habari zake kila kukicha ni UONGO.
Huyo Yesu hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.
Bora yakoHakunaga Nabii wa ukweli.
Hata huyo Yesu mwenyewe ni Uongo.
Makenzie kule KenyaEti nabiii 😄
Wajinga waliwao
Ova
biblia kuielewa inahitaji ukue zaidi kwenye hekima na maarifa
hata mtoa mada inaonekana bado biblia hujaielewa sawasawa.
Kweli kabisa....wanadam hawasikiiiMakenzie kule Kenya
Kiboko ya wachawi Buza
Mwingira na ubakaji unaofanyika kwenye shamba lake.
Hivi watanzania mpaka mtoke damu kwenye masikio ndio mjue kwamba yule wa Kawe na Kimara kwenye ndovu Ni matapeli.
Kwani mkienda kwenye makanisa ambayo Ni taasisi hamuokoki?
Muulizeni waziri mstaafu kilichomkuta Buza.
Inasikitisha Sana kuona MTU mzima akiwa Hana maarifa.
Joji Davison Ni tapeli Kama matapeli wengine.
Huyo haamini Biblia kwa taarifa yako yeye ndie hujichukulia kama ndio Biblia yenyewe
Manabii wengi na mitume wa sasa hivyo wako hivyo
Msikilize hapa akiponda Biblia
View: https://youtu.be/Sm7ufH2PF1E?si=n2sL5fZ6pCResYON
Hakuna fundisho la kweli.
Hata huyo Yesu mnaye hubiriwa habari zake kila kukicha ni UONGO.
Huyo Yesu hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.
Hakunaga Nabii wa ukweli.
Hata huyo Yesu mwenyewe ni Uongo.
Ukiweza kuthibitisha uwepo wa huyo Yesu au umwambie huyo Yesu wako ajitokeze hadharani ajidhihirishe mwenyewe kwamba yupo kama ana huo uwezo, Basi mimi nitakuwa muongo.
Otherwise Mnatetea fictional character ambaye hajawahi kuwepo na hayupo kujiongelea mwenyewe na kujidhihirisha mwenyewe kwamba yupo.
Hizi ni hekaya umeandika hapa.
Huyo Yesu ajitokeze hadharani mwenyewe ajidhihirishe kwamba yupo, Kama ana huo uwezo.