Nabii GeorDavie: Yesu akirudi leo atataka kutumia gari yangu na atataka nimfuate Airport

Hawa manabii wa uongo na viongozi wa kisiasa nchi hii hawajapishana kitu.
Wote wanawaona wafuasi wao ni mijitu mijinga mijinga.
 
Mi naona shibe ya sadaka za wajinga wanaoombewa zimemlevya kuropoka chochote. Ukimjua mtu usipate naye shida. Hata mngemsema vipi tayari mmemshibisha na mnaendelea kumjaza misadaka ya bure ataropoka tena na tena na tena mpaka muache kumpa sadaka. Na hawezi kufilisika kwa sababu ujinga wa mtu mweusi ndiyo utajiri wa manabii fakes.
 
mungu wao yesu alitandikwa misumali msalabani na barobaro wa kiyahudi
 
Kwahiyo Yesu atakuja na ndege sioπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
πŸ€›
 
Eh!!😳😳
 
Ametengeneza lini gari huyu mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…