Charlez kanumba
Senior Member
- Nov 2, 2024
- 187
- 501
Oya Oya we kama limetoroka mirembeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya ...💩 ya sisiemuHivi hukul nikitukana si watanifungia?
Nisaidieni kumtukana.
Kufuru Ipi Mbona Alipanda PundaHii sasa ni kufuru hakyanani! Yesu gani huyo aje apande gari lake tu?
Mi naona shibe ya sadaka za wajinga wanaoombewa zimemlevya kuropoka chochote. Ukimjua mtu usipate naye shida. Hata mngemsema vipi tayari mmemshibisha na mnaendelea kumjaza misadaka ya bure ataropoka tena na tena na tena mpaka muache kumpa sadaka. Na hawezi kufilisika kwa sababu ujinga wa mtu mweusi ndiyo utajiri wa manabii fakes.Nabii Geordavie amesema kwamba endapo Yesu angerudi leo, angehitaji kutumia gari lake na kumtaka amfuate uwanja wa ndege kwa ajili ya msafara wa hadhi yake. Nabii huyo alieleza kuwa Yesu angekuwa na mtazamo tofauti, akiamua kukaa naye na kuchagua gari miongoni mwa alizonazo ili kuendana na hadhi yake.
"Nadhani atakuwa na mtazamo tofauti, jambo la kwanza ataamua kukaa na mimi na atataka kutumia gari langu, atachagua katika hizi (gari) na ataomba nimfuate airport (uwanja wa ndege) kwasababu ndio hadhi yake na kutakuwa na msafara kabisa."
punda na gari wapi na wapi?Kufuru Ipi Mbona Alipanda Punda
mungu wao yesu alitandikwa misumali msalabani na barobaro wa kiyahudiNabii Geordavie amesema kwamba endapo Yesu angerudi leo, angehitaji kutumia gari lake na kumtaka amfuate uwanja wa ndege kwa ajili ya msafara wa hadhi yake. Nabii huyo alieleza kuwa Yesu angekuwa na mtazamo tofauti, akiamua kukaa naye na kuchagua gari miongoni mwa alizonazo ili kuendana na hadhi yake.
"Nadhani atakuwa na mtazamo tofauti, jambo la kwanza ataamua kukaa na mimi na atataka kutumia gari langu, atachagua katika hizi (gari) na ataomba nimfuate airport (uwanja wa ndege) kwasababu ndio hadhi yake na kutakuwa na msafara kabisa."
Ni takatakaHivi hukul nikitukana si watanifungia?
Nisaidieni kumtukana.
unavuka mipaka sasa, acha kashfamungu wao yesu alitandikwa misumali msalabani na barobaro wa kiyahudi
🤛Mi naona shibe ya sadaka za wajinga wanaoombewa zimemlevya kuropoka chochote. Ukimjua mtu usipate naye shida. Hata mngemsema vipi tayari mmemshibisha na mnaendelea kumjaza misadaka ya bure ataropoka tena na tena na tena mpaka muache kumpa sadaka. Na hawezi kufilisika kwa sababu ujinga wa mtu mweusi ndiyo utajiri wa manabii fakes.
Eh!!😳😳Nabii Geordavie amesema kwamba endapo Yesu angerudi leo, angehitaji kutumia gari lake na kumtaka amfuate uwanja wa ndege kwa ajili ya msafara wa hadhi yake. Nabii huyo alieleza kuwa Yesu angekuwa na mtazamo tofauti, akiamua kukaa naye na kuchagua gari miongoni mwa alizonazo ili kuendana na hadhi yake.
"Nadhani atakuwa na mtazamo tofauti, jambo la kwanza ataamua kukaa na mimi na atataka kutumia gari langu, atachagua katika hizi (gari) na ataomba nimfuate airport (uwanja wa ndege) kwasababu ndio hadhi yake na kutakuwa na msafara kabisa."
Tena anazaa bila kukwichy 😹sasa kama unaamini bikra anazaa utashindwa kuamini hizo stori?
imani zina mambo mengi
Ametengeneza lini gari huyu mzeeNabii Geordavie amesema kwamba endapo Yesu angerudi leo, angehitaji kutumia gari lake na kumtaka amfuate uwanja wa ndege kwa ajili ya msafara wa hadhi yake. Nabii huyo alieleza kuwa Yesu angekuwa na mtazamo tofauti, akiamua kukaa naye na kuchagua gari miongoni mwa alizonazo ili kuendana na hadhi yake.