Nabii Josephat Mwingira anena Mazito kwenye Salamu za Heri ya Krismasi

Kweli kabisa kama sisi wavuvi Kata ya kalya uvinza huku utawala ule ulituibia nakutuharibia malizetu halali ulaniwe utawala ule nawaende jahanam
 
Thubutu waongee ili iweje! walijificha uvunguni kabisa sahizi wanachomoza kama maotea ya mimea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah!
Kwakheri JPM.
...sasa tunashuhudia "wahuni" wa aina zote wakirudi kwa kasi.
 
Dah!
Kwakheri JPM.
...sasa tunashuhudia "wahuni" wa aina zote wakirudi kwa kasi.

Dah!

Asante Mola.

... sasa tunashuhudia "wahuni" wakiumbuka hadharani?

Sabaya tayari. Kingai Mahita Goodluck Jumanne na wenzao wanajulikana. Na wengi wangalipo:

 
Walijificha wakimkimbia nani? Huyo waliyekuwa wakimkimbia kimemshinda nini kuendelea kuwakimbiza? Si aendelee hata sasa?
Usifurahie kifo cha mtu hata kama haupendezwi naye, kila mtu anasababu ya kifo chake, kama ulitumbuliwa vyeti feki nenda kasawazishe wenzio wanaenda QT kila kitu kinakaa sawa, na kama wewe ni muumini wa Nabii wako endelea tu huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Wapi unasoma furaha ya kifo cha mtu?

Huna neno lolote wa waliofurahia vifo vya watu hawa?



Au waweza kutusaidia walipo Lijenje, Urio, Malema, Ben, Azory na wenzao?

Au mawazo yako hao hawakuwa na ndugu, jamaa wala marafiki?

Au ni yale yale ya ku*ya, a*ye kuku?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…