Nabii Josephat Mwingira anena Mazito kwenye Salamu za Heri ya Krismasi

Nabii Josephat Mwingira anena Mazito kwenye Salamu za Heri ya Krismasi

Kweli kabisa utawala wa ibilisi joka kuu ulikuwa umelaanika na wa kishetani kabisa. Ule wizi wa kura wa kishamba ambao haukuwahi kutokea katika sayari ya tatu 2020, ni dalili tosha shetani alikuwa ametamalaki.
Nchi kuinusuru kuna njia nyingi mojawapo kuiba kura

Ukiona mijitu isiyoitakia mema nchi inaelekea kushinda.Kuiba kura ruksa
 
hahahaha anaichokoza dola, ... walipaswa kupambana na marehemu akiwa hai ana kwa ana...akiwa amekufa nikumuonea tu maana hakuna wakumsemea...

Marehemu bila shaka naye alikuwa anamafile yao ndio maana walikaa kimya...wangedungua midomo zama zile naye afungue mafaili yao..
 
Nchi kuinusuru kuna njia nyingi mojawapo kuiba kura

Ukiona mijitu isiyoitakia mema nchi inaelekea kushinda.Kuiba kura ruksa
Ndo mlivyo CCM siku zote mmethubutu kuiba,mkaweza na mnasonga mbele na wizi wenu wa kishamba wa kura. Huwezi kuzuia mijitu kuchukua nchi kws kutegemea kuiba kura,izuie kwa sera Safi na ilani Safi kwa kushawishi wapiga kura. Ila kwa vile nyie hayo mlishaona hayafai sikushangai kwa hayo mawazo yako chama kimekulea hivyo kuwa bila kuiba huwezi kuwa na njia nyingine ya kumzui mpinzani wako
Viazi kweli nyie.
 
Hivi je? Serikali hii:

1. haikukwiba kura?
2. haijabambikiza watu kesi?
3. haijapoteza watu?
4. haijadhulumu watu yakiwamo maisha yao?
5. haikuhusika na magenge ya wasiojulikana?
6. Nk. Msururu ni mrefu.

Kama majibu ni ndiyo basi kumbe aliyosema ni machache zaidi. Kama ndivyo basi lichumia tumbo ni wewe mjomba.
you nailed it...Giza halitoshinda nuru kamwe..hata humu JF kuna wanafiki wa kiwango cha kusikitisha...ole wao
 
Bila tume ya maridhiano hali itakuwa tete, Samia, mpango na kasimu watoke hadharani waje waombe radhi , tushikane mikono tusonge mbele tuandike katiba mpya.
Ccm wakidharau hii kitu nchi itapasuka

Mwache ajikoki
 
Kama Kuna mahali tulipomkosea Allah inabd tutubu haraka Sana la sivyo ...
 
Yaani huyu Nabii kanichosha kabisa. Hivi yeye alikuwa na ugomvi gani na serikali? Au kuna jambo anajihami kama ilivyokuwa kwa mh mbowe?? Ngoja tusubiri maana tangu enzi za JK

Nabii hawahusiki kusema anachopenda awaye yote kusikia.

Nabii anasema kilichopo.

Kwa hakika nabii Mwingira wapiga mule mule. Kwani serikali hii:

1. haikukwiba kura?
2. haijabambikiza watu kesi?
3. haijapoteza watu?
4. haijadhulumu watu yakiwamo maisha yao?
5. haikuhusika na magenge ya wasiojulikana?
6. Nk. Msururu ni mrefu.

Wewe ulitaka ayafumbie macho?
 
Ndo mlivyo CCM siku zote mmethubutu kuiba,mkaweza na mnasonga mbele na wizi wenu wa kishamba wa kura. Huwezi kuzuia mijitu kuchukua nchi kws kutegemea kuiba kura,izuie kwa sera Safi na ilani Safi kwa kushawishi wapiga kura. Ila kwa vile nyie hayo mlishaona hayafai sikushangai kwa hayo mawazo yako chama kimekulea hivyo kuwa bila kuiba huwezi kuwa na njia nyingine ya kumzui mpinzani wako
Viazi kweli nyie.

Umempiga na kitu kizito utosini
 
Wanajiita viongozi wa dini Tanzania sio wa Kikristo wala Uislam wote wanafiki,huwa nashangaa ikifika Ijumaa/Jmamosi/Jpili MTU anaongozwa na kiongozi wa namba hiyo.
Sio bora tu uache kusali au kuswali usubiri Mungu akuhukumu kwa kutokubali kuongozwa na kiongozi mnafiki.
Mjibuni na Dr Shoo amewaeleza wazi wazi muache kutesa Watanzania.
 
Yeye mbona anawaibia waumini wake sadaka pale kanisani kwake mwenge? Na yeye pia wakala wa ibilisi tu
“Mshindi ni Mshindi tu, Mungu yupo ndani yake, kati ya aliyepigwa risasi na aliyeiba kura nani yupo hai?” - Askofu Josephat Mwingira
 
Mnamsikiliza mwingira muuza ngada?
Tunawasikiliza nyie mliomuacha muuza ngada bila kumkamata na kumpeleka mahakamani.

“Mshindi ni Mshindi tu, Mungu yupo ndani yake, kati ya aliyepigwa risasi na aliyeiba kura nani yupo hai?” - Askofu Josephat Mwingira
 
Kweli kabisa utawala wa ibilisi joka kuu ulikuwa umelaanika na wa kishetani kabisa. Ule wizi wa kura wa kishamba ambao haukuwahi kutokea katika sayari ya tatu 2020, ni dalili tosha shetani alikuwa ametamalaki.

Kura aliibiwa nani mkuu. Lissu au. Hakuna Tanzania ambayo ingemchagua Lissu. Anafaa kupiga kelele za hapa na pale Sio Urais. JPM ameshakwenda mjifunze kumove on. Majungu yanaharibu afya zenu.
 
Kweli kabisa utawala wa ibilisi joka kuu ulikuwa umelaanika na wa kishetani kabisa. Ule wizi wa kura wa kishamba ambao haukuwahi kutokea katika sayari ya tatu 2020, ni dalili tosha shetani alikuwa ametamalaki.
Ukweli tuna Bunge haramu
 
Back
Top Bottom