babu bulicheka
JF-Expert Member
- Mar 26, 2021
- 822
- 1,048
Ukweli kura zili porwa sio wizi uleKuna jambo uongozi wa juu serikalini unapaswa kufanya ili kuponya nafsi za wengi waliojeruhiwa.Kuudharau ukweli na kukaza shingo haitosaidia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukweli kura zili porwa sio wizi uleKuna jambo uongozi wa juu serikalini unapaswa kufanya ili kuponya nafsi za wengi waliojeruhiwa.Kuudharau ukweli na kukaza shingo haitosaidia.
Magu aliiba Trillion 1.5 na CAG Musa Assad alilisema. ..una lingine?Hayo mambo ya ukwepaji kodi namengine uliyo yaeleza yote tulielezwa bayana na nikweli watu walifanya nchi kama ya shangazi zao.
Sasa lete ushahidi wa ufisadi wa magu na nini kinafanyika kusawazisha hayo makosamengi, sio kujifanya ujuaji wakukosoakosoa mambo ya kipuuzitu bila akili.
Miradi yote mikubwa kabisa inaendelea kama kawaida mbona hatusikii kusitishwa kwa mradi hatammoja wenye tuhuma za ubadhilifu kwaajili ya uchunguzi, acheni kujifanya wajuaji.
Kwa maana hiyo unakubaliana naye......!!Yeye mbona anawaibia waumini wake sadaka pale kanisani kwake mwenge? Na yeye pia wakala wa ibilisi tu
ilihusika naHivi je? Serikali hii:
1. haikukwiba kura?
2. haijabambikiza watu kesi?
3. haijapoteza watu?
4. haijadhulumu watu yakiwamo maisha yao?
5. haikuhusika na magenge ya wasiojulikana?
6. Nk. Msururu ni mrefu.
Kama majibu ni ndiyo basi kumbe aliyosema ni machache zaidi. Kama ndivyo basi lichumia tumbo ni wewe mjomba.
Unajua kinachoendelea Rufiji kwenye mradi wa umeme? vipi barabara ya Kibaha au unasubiri taarifa kutoka kwa shaka hamduHayo mambo ya ukwepaji kodi namengine uliyo yaeleza yote tulielezwa bayana na nikweli watu walifanya nchi kama ya shangazi zao.
Sasa lete ushahidi wa ufisadi wa magu na nini kinafanyika kusawazisha hayo makosamengi, sio kujifanya ujuaji wakukosoakosoa mambo ya kipuuzitu bila akili.
Miradi yote mikubwa kabisa inaendelea kama kawaida mbona hatusikii kusitishwa kwa mradi hatammoja wenye tuhuma za ubadhilifu kwaajili ya uchunguzi, acheni kujifanya wajuaji.
Inawezekana akawa Mkapa au Jk aliruhusu agawe Nyumba mbona hakuzirudisha alivyopata mamlaka vipi kuhusu kile kivuko alichokimbizia jeshini acheni ujinga mtu wenu alikuwa wa hovyo tuUnamjua alie ruhusu nyumba za serikali wauziwe watumishi?, unamjua alie saini ununuzi wa hilo ferry?.
Swala la la pay master mtanzania yoyote mwenye sifa anaweza kufanya hiyo kazi.
Vyeti feki hakuna anaewalaumu wao ndio wanashinda humu kumlaani magu kwa kuwaondoa kazini maana waliingia kimagu mashi, sasa wanajiungu kuchafua kwa sababu ya chukiza maslahi.
Jiwe hakuwa na file lolote yeye alikuwa anataka kuwa na watu waliosagwa Ubongo tu lkn wanaofikiri wenyewe aliwapoteza Sasae Lisu alikuwa na file ganihahahaha anaichokoza dola, ... walipaswa kupambana na marehemu akiwa hai ana kwa ana...akiwa amekufa nikumuonea tu maana hakuna wakumsemea...
Marehemu bila shaka naye alikuwa anamafile yao ndio maana walikaa kimya...wangedungua midomo zama zile naye afungue mafaili yao..
Ilikua ni kichaka cha fedha haramu...na ilianzishwa makusud kwa lengo hilo...Ile benki ya efata inaweza kufunguliwa tena kweli au ndio imefilisika moja kwa moja
Umeongea kwa hasira sababu yakuwa shabiki wa mtu na sio Nchi yenyewe hivyo ni vigumu mtu kama wewe kuelewa mambo maana nimoja ya watu mnaopenda kufurahishwa. Miradi mikubwa huwa ni lazima ukiguliwe ili kulinda matumizi ya fedha za umma kwani zingine zinapatikana kwa mkopo. Godfather wenu alizuia miradi yote mikubwa isikaguliwe hasa mradi wa sgr kwenye report za CAG ya prof Assad na kechere haukuguswa kabisa. Hawa viongozi hawa niwakupita tu hivyo wanapokosea sio vibaya kukosolewa kwa ajiri ya manufaa ya baadae kwa kizazi kijacho. Kama wewe ni mzalendo Kweli nenda nje ya box ufikilie bila mapenzi utaona mzee alikuwa anaharibu hili taifa kwa kujifanya mwamba mpaka kusema miradi mikubwa inagaramiwa na fedha za ndani wakati Nchi inaingia madeni tu. Uzuri wake alikuwa jasiri, committed ila roho mbaya Sana kavuruga mfumo wa ajira nchini katuletea watu kutoka jalalani yaan basi tuHayo mambo ya ukwepaji kodi namengine uliyo yaeleza yote tulielezwa bayana na nikweli watu walifanya nchi kama ya shangazi zao.
Sasa lete ushahidi wa ufisadi wa magu na nini kinafanyika kusawazisha hayo makosamengi, sio kujifanya ujuaji wakukosoakosoa mambo ya kipuuzitu bila akili.
Miradi yote mikubwa kabisa inaendelea kama kawaida mbona hatusikii kusitishwa kwa mradi hatammoja wenye tuhuma za ubadhilifu kwaajili ya uchunguzi, acheni kujifanya wajuaji.
Jiwe hakuwa na file lolote yeye alikuwa anataka kuwa na watu waliosagwa Ubongo tu lkn wanaofikiri wenyewe aliwapoteza Sasae Lisu alikuwa na file gani
Ndio najua, wametangaza ajira zaidi ya miamoja katika fani mbalimbali.Unajua kinachoendelea Rufiji kwenye mradi wa umeme? vipi barabara ya Kibaha au unasubiri taarifa kutoka kwa shaka hamdu
Hujui hata unachoongelea.Inawezekana akawa Mkapa au Jk aliruhusu agawe Nyumba mbona hakuzirudisha alivyopata mamlaka vipi kuhusu kile kivuko alichokimbizia jeshini acheni ujinga mtu wenu alikuwa wa hovyo tu
Tunaendelea kusubiri mwimba pambio wa enzi hizo a.k.a mwana sgang.Kama mnaemuita mtesiwenu amesha kufa sasa mnataka maridhiano na nani wakati muhusika amesha kufa ama anawajia usingizini maana mnalopoka sana kama mmekatwa vichwa.
Subiri tukishtakiwa MIGA ndio nchi itapasuka upande mmoja tuuze tulipe fidia, vinginevyo utapasuka wewe.
Je mali za watawala wanazipataje tena ktk vipindi vifupi?Wahalifu wanapopata forum ya kuzungumza...huwezi kuwa na utajiri unaotokana na zao la uhalifu ukaachwa sehemu yoyote duniani..inashangaza hawa watu wanazungumzia kunyanganywa mali zao leo bila ya kutueleza wamezipataje.rubbish
Sina haja ya kuwa na hasira ni mawazoyakotu.Umeongea kwa hasira sababu yakuwa shabiki wa mtu na sio Nchi yenyewe hivyo ni vigumu mtu kama wewe kuelewa mambo maana nimoja ya watu mnaopenda kufurahishwa. Miradi mikubwa huwa ni lazima ukiguliwe ili kulinda matumizi ya fedha za umma kwani zingine zinapatikana kwa mkopo. Godfather wenu alizuia miradi yote mikubwa isikaguliwe hasa mradi wa sgr kwenye report za CAG ya prof Assad na kechere haukuguswa kabisa. Hawa viongozi hawa niwakupita tu hivyo wanapokosea sio vibaya kukosolewa kwa ajiri ya manufaa ya baadae kwa kizazi kijacho. Kama wewe ni mzalendo Kweli nenda nje ya box ufikilie bila mapenzi utaona mzee alikuwa anaharibu hili taifa kwa kujifanya mwamba mpaka kusema miradi mikubwa inagaramiwa na fedha za ndani wakati Nchi inaingia madeni tu. Uzuri wake alikuwa jasiri, committed ila roho mbaya Sana kavuruga mfumo wa ajira nchini katuletea watu kutoka jalalani yaan basi tu
May be throw backKwa maana hiyo unakubaliana naye......!!
Watambinya kende huyu mzee sio muda! Anajisahau,awamu ya mwanamke hii.