Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,397
- 6,015
Sifa za viumbe hai (Binadamu).
1. Huzaliwa
2. Huishi
3. Hufa
Akili zingine ziwe zinachunguzwa kabla ya kuropoka maana ikiwa kila Binadamu alizaliwa pekeyake na kwa siku yake ndivyo hali halisi ya kifo chake kinavyokuwa.