Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Ni vema.Bila watu kuachwa watoe sumu vifuani tutakuwa tunalaumiana kila siku na wapendwa wa Jiwe kwamba tunamsimanga marehemu.Tuunde tume ya haki na maridhiano kama zile za South Africa na Rwanda ipite nchi nzima watu watoe machungu yao kisha wasamehe taifa liende mbele.