Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchumia tumbo fulani tuu huyo,wajinga ndio Mta take note maneno yake.Salamu za Heri zinaendelea kumiminika. Hapa chini ni kutoka kwa nabii Mwingira:
View attachment 2058365
Salamu za kama hizi zinapoendelea kutufikia ni vyema kujitafakari. Ni wazi kuwa kama Taifa hatuko vizuri.
Walikuwapo kina Desmond Tutu, leo hatuko nao. Walifanya sehemu yao, wamekwenda. Angalia katika kuwaomboleza hakuna dongo hata moja.
"Tunayo ya kujifunza."
Kila mtu kwa nafasi yake anayo sehemu yake ya kufanya, atakayo kumbukwa nayo.
Ni wazi kuwa chuki tunazoziona kwetu ni matokeo ya kumea kwa mbegu zake tunazozipanda wenyewe.
Haki huinua taifa.
Barikiwa mtumishi wa bwana, nabii Mwingira.
Mchumia tumbo fulani tuu huyo,wajinga ndio Mta take note maneno yake.
Hii ni awamu ya 6,ilifanya lini hayo unayosema wewe?Hivi je? Serikali hii:
1. haikukwiba kura?
2. haijabambikiza watu kesi?
3. haijapoteza watu?
4. haijadhulumu watu yakiwamo maisha yao?
5. haikuhusika na magenge ya wasiojulikana?
6. Nk. Msururu ni mrefu.
Kama majibu ni ndiyo basi kumbe aliyosema ni machache zaidi. Kama ndivyo basi lichumia tumbo ni wewe mjomba.
Wanajiita viongozi wa dini Tanzania sio wa Kikristo wala Uislam wote wanafiki,huwa nashangaa ikifika Ijumaa/Jmamosi/Jpili MTU anaongozwa na kiongozi wa namba hiyo.
Sio bora tu uache kusali au kuswali usubiri Mungu akuhukumu kwa kutokubali kuongozwa na kiongozi mnafiki.
Huyu mwizi wa wake za watu na sadaka! Ati nabii! Pumbaff
Hata Warema anachekeleaHahahaaaa........ Chadema mnachekelea!
Yeye kama Mtume/Nabii baada ya kutambua hayo, je kachukua hatua gani?
Mke wa mtu hawezi kuibwa.Huyu mwizi wa wake za watu na sadaka! Ati nabii! Pumbaff
Kabla hajanyooshea wengine kidole, atwambie ile kesi yake ilikuwa inahusu nini?
Hii hapa:
View attachment 2058457
Kwa hakika kama alivyosema Tutu (rip) yaweza kuwa bora sana kuliko labda yoyote wewe au miye tuliyokwisha chukua.
Hawa ndio aina ya wachungaji tunaowataka, sio unakuta mchungaji kazi yake kuhimiza michango, kupiga majungu kama anavyofanya Gwajima na kusifia serikali. kkkt na Rc mjitafakari. Kazi yenu sio kumsifia rais na serikaliSalamu za Heri zinaendelea kumiminika. Hapa chini ni kutoka kwa nabii Mwingira:
View attachment 2058365
Salamu za kama hizi zinapoendelea kutufikia ni vyema kujitafakari. Ni wazi kuwa kama Taifa hatuko vizuri.
Walikuwapo kina Desmond Tutu, leo hatuko nao. Walifanya sehemu yao, wamekwenda. Angalia katika kuwaomboleza hakuna dongo hata moja.
"Tunayo ya kujifunza."
Kila mtu kwa nafasi yake anayo sehemu yake ya kufanya, atakayo kumbukwa nayo.
Ni wazi kuwa chuki tunazoziona kwetu ni matokeo ya kumea kwa mbegu zake tunazozipanda wenyewe.
Haki huinua taifa.
Barikiwa mtumishi wa bwana, nabii Mwingira.
Yoyote mwenye akili lazima apate furahaHahahaaaa........ Chadema mnachekelea!
Hayo maneno yalisemwa na mwl mwakasege sio mwingira.Alinifurahisha sana huyu baba nabii kipindi mile cha utawala wa Chuma aliposema"mtawala akipungukiwa akili huwaonea watu"
Usiwe fala, serikali ya sasa ni muendelezo wa serikali ya Dikteta MagufuliHii ni awamu ya 6,ilifanya lini hayo unayosema wewe?
Hii ni awamu ya 6,ilifanya lini hayo unayosema wewe?