Nabii kutoka Nigeria ashinda mkanda baada ya kumpiga shetani

Wakiambiwa Ukatoliki ndio Ukristo halisi, wanatokwa mapovu. Waprotestanti wameharibu sana image ya Ukristo
Wapenzi, msiiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho, kwamba zimetokana na Mungu; kwa sababu manabii wa uongo wengi wametokea duniani.

1 Yohana 4:1
Ukatoliki na roho nyingine zilizopo makanisani zijaribiwe kama zimetoka kwa Mungu
 
Ameshindwa Eve mkewe Adam ije kuwa huyu kiazi?. Huu mkanda kanunua sehemu au kapewa na shetani🤣🤣
 
Uchawi na ushirikina ni chanzo kikubwa Cha vinavyoitwa miujiza na uponyaji kwenye nyumba za ibada. Waumini wasome na kulielewa neno watanusurika., Vinginevyo ni vilio na kusaga meno. Wasaka utukufu wa kibinadamu wamefurika kwenye madhabahu.....!!!
 
Dah!! Kuna mwamba ana PhD hapo anaamini kabisa 😂😂😂kwa vile elimu yake ni Yale mambo ya kuhonga na kuiba mitihani hata kutumia akili tu hawezi.
 
Kwa hiyo! SHETANI HAYUPO TENA NA KAMA NI DHAMBI TUTAKUA TUNA FANYA KWA MATAKWA YETU NA SI KWA VISHAWISHI VYA SHETANI!!?
Ajamaliza mapambano! Aje na wakumshinda mwanadamu, mimi ntaenda kupambania ule wa vikoba unao sumbua wake zetu

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hiyo closed door nani alishuhudia?
Alimuacha shetty katika hali gani?
Hata selfie na shetani aliyejikunyata kwa kipondo hajatulete...

Mimi nimegoma kumuamini nabii
Inawezekana shetani anakaa peke yake hana hata nyumba wala wasaidizi? Huyu jamaa ilibidi Kwanza awapige walinzi na awashinde halafu aingie ndani ampe Kickapoo shetani.
Sass kama alikuwa peke yake nani alikuwa refa? Huo mkanda alikuwa anamiliki shetani baada ya kumshinda nani?
Kuna watu wapumbavu sana.
 
Aisee
 
Aisee... Nigerians ni mataahira
 
Even mpagani au mtu wa dini yeyote kama unataka kujuwa hii nguvu ya jina Yesu litaje ktk jambo lolote utakacho kiona utakuja kushuhudia.. shetani sio tu anakula wanadam. Yani sisi ni chakula miili hii anakula ndio maana kuna magonjwa ya ajabu sana sio magonjwa ni maabara za shetani huko kuzimu zina fanya kazi... Unapo ona mtu ana Kansa Yani anakuwa chakula akiwa hai wanatafuta uchafu maroho machafu yanaingia ktk mwili yana leta Kansa yanakutafuna wewe unaona ugonjwa... Mtu anaitwa moyo unafikiri moyo no sio moyo ni kazi ya maabara za kuzimu kutengeneza viumbe kuitafuna mioyo yetu.. unaliwa ukiwa hai... Yani unaliwa kama fisi au mbwa mwitu wanavyo kula wanyama wenzak wakiwa hai... Yani ni shida. Mtu wa Mungu funguka or u will die.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…