Nabii kutoka Nigeria ashinda mkanda baada ya kumpiga shetani

Kuhusu aliyeandaa pambano, kwa vyovyote atasingiziwa Yesu.

Nabii atakuwa amewaokota wengi na safari hii ataenda tena kumtonesha vidonda shetani na kupata mkanda mwingine
Wanaijeria wanazo za kuwatosha kweli?
 
Mmmmmhhhhhhh!!!! Hivi hawa mitume UCHWARA wanawaonaje wenzao?
1. Yaani shindano kati yake na shetani halafu kuna MKANDA???🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

2. Nani mwandaji wa shindano, akinanani makamisaa wa mchezo, refa, mfadhili na vile vibinti.....???

3. Ni nini lengo la mashindano haya?

HUU UTAPELI KAMA ULIVYO UTAPELI MWINGINE.... ILA NAHISI HUYU NJAA IMETOKA TUMBONI IMEHAMIA KICHWANI
 
Shetani wa mru ni mtu mwenyewe.
Jamaa kapigana na kivuli chake
 
Unafaa kuwa muumini wa huyo champion, aliyejinyakulia belt, ukishaamini ujinga kama huo unaoamini tayari wewe ni mateka tu.
 
Walokole ni branch iliyo ji separate toka protestant na toka RC.
Hivyo wao si waprotestanti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…