Nabii Malisa aelezea jinsi alivyomfufua mama yake mzazi mara 3

MAMA YANGU MZAZI ALIFARIKI NIKAMUOMBEA AKAFUFUKA; PROPHET MALISA

"Moja ya kitu ambacho sitakuja kukisahau katika maisha yangu yote ni siku ambayo mama yangu mzazi alifariki alafu nikamuombea akafufuka, na hakufariki mara moja, ni mara tatu na zote nilimfufua"- Prophet Malisa

Hata hivyo mama mzazi wa Malisa pia amekiri kufufuliwa na mwanae huyo kwa nyakati tatu tofauti.

"Nilikuwa pekee yangu nikafariki nikampigia simu akaja kunifufua"- Mama Malisa.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi hii imejaa watu wajinga sana
~Dr mollel 😆
 
Mkuu huyo mama anasema alikuwa pekee yake, akafariki, halafu akiwa amefariki, akampigia simu mwanae akaja kumfufua. Labda maana ya neno kufariki tuijuayo sio aliyomaanisha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…