Nabii Malisa aelezea jinsi alivyomfufua mama yake mzazi mara 3

Afu kuna wanawake hapo mbele wanashangilia balaa. Sijui wanakuwa wanapangwa? Lakini kuna mmoja nimemuona akishangaa kwa kumtilia mashaka huyu tapeli.
Mitaji hiyo ukioa wa namna hiyo sahau kumwelekeza kitu Kila kitu atakuambia nabii kasema hiki
 
Nawaza kama Serikali imeshindwa basi si itoe tamko Kwa raia tuyachome makanisa Yao Hawa matapeli
 
Nampongeza sana jamaa kwa kutumia vizuri fursa ya wajinga na wapumbavu waliopo nchini. Acha ajivunie sadaka kutoka kwa hao wapuuzi wanaomsikiliza. Hapo ana wafuasi hadi wenye PhD.
 
Hiyo ni promo wanangu .hapo anajitangaza kwa watu apate wafuasi ili upako uendelee

Hapo tayar kashaenda mjini
 
Wife alianza kuabudu katika haya makanisa ni kampiga STOP kubwa.alikuwa anatumia mafuta ya mwamposa kila nikilala ananimwagia maji kitandani nikasema uyu anaweza kunifanya zombie bure ngoja nimuwahi.
Tatizo siyo maji ya Mwamposa, tatizo ni kutumia hayo maji kwa ajili ya wengine. Angetumia peke yake bila kukuhusisha hakuna shida.
 
UNgeanza kumwambia yesu kwanza

Tena ipo kabisa kwenye maandiko yenu, yaani mtu anagegeda mwanaume mwenzie na bila aibu unambinukia kumuabudu MTUME MUHAMMAD ALINYONYA ULIMI WA AL HASSANHadith Idadi 16,245
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…