Wewe ndiye umemtaja Mungu wa kuchonga.Waulize wanaosema kamfufua mama yake alimfufua kwa kumtumia Mungu gani?
Wewe Mungu wako ni wa kuchonga au unamzungumzia Mungu gani?Wewe ndiye umemtaja Mungu wa kuchonga.
Uliuliza hivi.
"Mungu wa kuchonga au Mungu yupi?"
Kwani kuna Mungu gani asiye wa kuchonga? Unaweza kuthibitisha kwamba kuna Mungu asiye wa kuchonga?
Logical non sequitur.Ulipokuwa unaishi kwa wazazi wako ulikuwa unalala kwenye kitanda. Right? Do u know who made the bed that u was using to sleep on? Can you prove to us about his existence?
Mimi sina Mungu, siamini Mungu.Wewe Mungu wako ni wa kuchonga au unamzungumzia Mungu gani?
Hahahaha Mpwa ukipata pa kupiga piga tu
Ebwanae? Wafu wanakufa Kisha wanachukua simu wanapiga Wanakuja kufufuliwa! Pengine tuanze na maana ya ufufuko ni Nini!"Nilikuwa pekee yangu nikafariki nikampigia simu akaja kunifufua"- Mama Malisa.
Acha upumbavu we pimbindugu yako hakuwa na imani, na nyie mliyempeleka hamkuwa na imani pia ndio maana hakupona.
Logical non sequitur.
Mimi kutojua nani katengeneza kitanda hakuthibitishi Mungu yupo.
Mimi sijasema namjua aliyetengeneza kitanda nilicholalia, nasema wewe huwezi kuthibitisha Mungu unayemsema yupo yupo kweli.
Usihamishe goli.
Mimi naweza kusema siwezi kuthibitisha lolote kuhusu hicho kitanda, lakini hilo bado halithibitishi Mungu yupo.
Thibitisha Mungu yupo.
Nikikukubalia sawa Mungu yupo, nikakwambia kimba langu nililokunya asubuhi leo ndiye Mungu, na huo ni ukweli ila si scientific fact hivyo hakuna proof, utakubali kimba langu hilo ni Mungu?Nimeshakujibu awali nimesema kwamba.
1.God is not a scientific fact for his existence to be scientifically proved...
2. Kuthibitisha ama uthibitisho ni dhana iliyo buniwa na wanasayansi ili iwasaidie katika tafiti na majaribio yao ya kisayansi lakini kiukweli hata uthibitisho wa hiyo dhana yenyewe inayoitwa " uthibitisho" unaweza kuwa challenged vizuri sana. Wanasheria wanalijua hilo ndio maana nao wamebuni two standards of proof. Lakini pamoja na hizo standard zao za proof walizo zi adopt lakini still wanakubaliana kwamba things which cannot be proved in court of laws do exist.
3. Nikatoa mfano unao " proof" kwamba dhana ya " proof" ilibuniwa tu na wanasayansi, kabla ya kubuniwa kwa muda na nyakati enzi hakuna saa ungemtuma mtu aende mahali ambapo anatakiwa kutumia dakika 10 yeye akatumia masaa ma3. Usingeweza kumwambia kwamba amechelewa kwa sababu usingeweza ku prove kwamba amechelewa..
Simjui Mungu Mzee wangu, karibu tumalizie Nyagi hii hapaMimi sina Mungu, siamini Mungu.
Wewe bado hujathibitisha kwamba kuna Mungu asiye wa kuchonga.
Nikikukubalia sawa Mungu yupo, nikakwambia kimba langu nililokunya asubuhi leo ndiye Mungu, na huo ni ukweli ila si scientific fact hivyo hakuna proof, utakubali kimba langu hilo ni Mungu?
Ukweli kiasi chake lkn Kuna midume na kitambo kabisa inavaa tai unaenda Kwa nabiiAmini usiamini waumini wa hayo makanisa ya manabii na mitume hawawezi hata kung’amua kuwa hapa tunapangwa/kupiga wao ni amen tu!
Na wengi ni wanawake ni rahisi sana kushawishi mwanamke kuliko kumshawishi mwanaume!
Kimba langu ni Mungu, wewe hujui tu kwa sababu hujakubali ukweli ulio zaidi ya sayansi na unayoyajua.Haiwezi kuwa kweli kwa sababu kimba linajulikana ni kimba
Chai ya magadi hiyoUongo wao fake nimeishia hapa kusoma
"Nilikuwa pekee yangu nikafariki nikampigia simu akaja kunifufua"- Mama Malisa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Marehemu anapigaje simu??
Nchii hii uhuru umeshapituliza sanaEbwanae? Wafu wanakufa Kisha wanachukua simu wanapiga Wanakuja kufufuliwa! Pengine tuanze na maana ya ufufuko ni Nini!
😂 wajinga ndio waliwaoHuo ni mkojo sio chai
"Nilikuwa peke yangu nikafariki nikampigia simu akaja kunifufua"
KivipiAngekuwa Rwanda, Kagame asingemuacha uraiani