Nabii Malisa aelezea jinsi alivyomfufua mama yake mzazi mara 3

Nabii Malisa aelezea jinsi alivyomfufua mama yake mzazi mara 3

Sio dhambi
ukiona m2 anapenda mwili wake sana,kwa kuvaa vi2 vya gharama,,,huyo ni m2 wa DUNIANI,amekaa zaidi kimwili,,kataa au kubali,anaglia maisha ya yesu,mussa na yohana mmbatizaji!!!.........manabii wengi walikuwa wa2 simple sana,,,,,,,,kasoro nabii suleiman aliyekuwa anaipenda mpaka akazaa na mamia ya wanawake kwa sababu ya kuwaka tamaa ya mwili!!!!,,unafikiri kwa makanisa kama moravian,katoliki,na orthodox mapadre wanavaa mavazi mahusususi wee mzee!!!!,,,,,,,,,au unafikiri waislam wanavovaa kanzu na kujitenga na wanawake wakati wa ibada ni wajinga?????...no!!! lengo ni kuhakikisha waumini wana concetraite kwenye neno la MUNGU na sio kushangaa mavazi jombaaaaaaaaaaaa!!!!!!,,,wewe ni aje???{ think critically!!!}
 
Tena ipo kabisa kwenye maandiko yenu, yaani mtu anagegeda mwanaume mwenzie na bila aibu unambinukia kumuabudu MTUME MUHAMMAD ALINYONYA ULIMI WA AL HASSANHadith Idadi 16,245
Yesu alisali kwa kusujudu toka kwenye ukafir
 
MAMA YANGU MZAZI ALIFARIKI NIKAMUOMBEA AKAFUFUKA; PROPHET MALISA

View attachment 2832720
"Moja ya kitu ambacho sitakuja kukisahau katika maisha yangu yote ni siku ambayo mama yangu mzazi alifariki halafu nikamuombea akafufuka, na hakufariki mara moja, ni mara tatu na zote nilimfufua"- Prophet Malisa

Hata hivyo mama mzazi wa Malisa pia amekiri kufufuliwa na mwanae huyo kwa nyakati tatu tofauti.

"Nilikuwa pekee yangu nikafariki nikampigia simu akaja kunifufua"- Mama Malisa.

Itakupasa uwe na akili mgando na utindio wa ubongo na kutokujielewa Kwa 100%ili uwakubali na kuwaelewa Hawa.

Unakubalina naye??
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

View attachment 2832211
Mungu hajaribiwi. Yatawakuta tu. Huwezi ukaongea ujinga huu wa kufufua watu. Na wewe mama kweli umekubali ujinga huu?
 
ukiona m2 anapenda mwili wake sana,kwa kuvaa vi2 vya gharama,,,huyo ni m2 wa DUNIANI,amekaa zaidi kimwili,,kataa au kubali,anaglia maisha ya yesu,mussa na yohana mmbatizaji!!!.........manabii wengi walikuwa wa2 simple sana,,,,,,,,kasoro nabii suleiman aliyekuwa anaipenda mpaka akazaa na mamia ya wanawake kwa sababu ya kuwaka tamaa ya mwili!!!!,,unafikiri kwa makanisa kama moravian,katoliki,na orthodox mapadre wanavaa mavazi mahusususi wee mzee!!!!,,,,,,,,,au unafikiri waislam wanavovaa kanzu na kujitenga na wanawake wakati wa ibada ni wajinga?????...no!!! lengo ni kuhakikisha waumini wana concetraite kwenye neno la MUNGU na sio kushangaa mavazi jombaaaaaaaaaaaa!!!!!!,,,wewe ni aje???{ think critically!!!}
kwahy binadam anatakiwa awe kiroho zaid sio ikiwa yeye ni mwili basi kuna haja na malaika wawe kimwili japo wao ni wa roho ili mbadilishane.au we waonaje?
 
Hawa washenzi sana hawa ndio unakuta wana masharti ya kulala na Mama zao ili wafanikiwe kutapeli watu na kupata utajiri. Mama anakuwa anajua kila kitu na anaunga mkono.
 
Hawa washenzi sana hawa ndio unakuta wana masharti ya kulala na Mama zao ili wafanikiwe kutapeli watu na kupata utajiri. Mama anakuwa anajua kila kitu na anaunga mkono.
Huenda hii ni kweli asee
 
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.
Tatizo ni Makanisa ambayo husema Wana Imani ya kweli kutotatua changamoto za waumini wao wenye shida walioko makanisani kwao ziwe za kiafya,kifamilia nk ndio maana wanazurura kote kutafuta ufumbuzi hata Kwa matapeli.Wasilsilaumiwe.Kama kanisani kwao Kuna ufumbuzi wasingezurura.Makanisa wanasali viongozi wajitathimini
 
Back
Top Bottom