Nabii Malisa: Mungu ameniambia Corona ni April tu, May hakuna Corona na hakuna atakayekufa!.

acha tu yaan tatizo lipo kubwa hivi ila hatendi mpk aombwe abembelezwe
 
acha tu yaan tatizo lipo kubwa hivi ila hatendi mpk aombwe abembelezwe
Kwanza eti anataka aombwe, anyeyekewe, atukuzwe, abembelezwe ndio atende.Baada kujinyeyekeza, kumbembeleza na kumtukuza hakuna alichoweza kufanya wala kutenda. Ni vituko.

Alishaombwa, alishabembelezwa, alishanyeyekewa na kusujudiwa miaka na miaka hakuna alichowahi kufanya hata kimoja. Huu ni ushahidi wa wazi kua kilichoandikwa kwenye vitabu vinavyoitwa vyake ni hadith tu za alinacha na wala kitu kama hicho hakipo.
 
Tuache kujazana ujinga ujinga tujikinge na huu ugonjwa

Hata huyu wanaemuita mna of God alishasema na haijawa Kama alivyosema


Stay at home, fuata maelekezo ya wataalamu wa afya. Tuachane na Hawa wapiga ramli
 
Biblia inatambua uwepo wa manabii wa uongo pia
 
huyo nabii mwongo Sana N tapeli kama wengine. ..siku moja nilialikwa kanisani kwake akaja kuniombea.. Eti kaniambi Mungu amenionyesha unaKwenda kupandishwa Cheo kazini unapofanya kazi. ..baada ya Hapo akaniuliza unafanya kazi wapi Nikasema mi mfanyabiashara.. Akasema basi utapata sijui wateja blabla.. Nkahisi sound tu.. Hata hao wanaopiga simu Kuna possibility Kubwa ni Watu wake kawaseti.. Kama nabii kweli aende mloganzila akuponye wenye corona wote. Huyo nabii ni fake.. Kwanza analink na nabii mwingine Yuko south naye anakuinua fake kibao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Japo imeandikwa usihukumu usije kuhukumia lakin maandiko tena yanasema pimeni hizo roho....Nasita kumuamini Mwanadamu isipokua Mwenyezi Mungu mwingi wa neema na rehema pekee.

Naungana na Apostle Maboya kwa kuzingatia ushauri wa wataalam wa afya na kuacha porojo na longolongo za "wafanyabiashara wa dini" maana huu ugonjwa ni hatari na Tanzania sio exceptional duniani.

Huyo anaejiita nabii anapaswa kukemewa sana maana atasababisha watu waache kuchukua tahadhari za virusi hivi kwakua haviui tena na mwisho wake ni May.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
hii biashara ya unabii imenoga sana siku hizi inatake advantage ya matatizo ya watu, badala ya kwenda ocean road kuwaombea wagonjwa wao wanashnda kanisani wanawaombea na kuwanawatabiria watu kupandishwa cheo,
 
Huku Tv zinaonyesha sala za miaka ya nyuma tu na wote wapo nyumbani kwa lockdown



Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…