Nabii Mkuu Dkt. Geor Davie wa Ngurumo ya Upako ndio mtu maarufu kutoka Arusha toka tupate Uhuru

Tapeli tu kama matapeli wengine
 
Lema kama anataka kurudi Arusha na kugombea ubunge basi aachane na ramli zake na unabii amuachie Nabii Mkuu.
No Lema arudi tuu, kila mtu na kipaji chake, na kupendwa kwake na kukubalika kwake na unabii wake!, Lema unabii wake ni unabii wa majanga, a prophet of the doom, ana prophesied kupitia ndoto za vifo!, na kweli watu wanakufa kweli!. Gambo yeye hana kipaji cha unabii wa utabiri, bali anatumia manabii wa maendeleo wenye uwezo wa kuhubiri utajiri na kugawa utajiri. Toka Gambo amechukua Ubunge wa Arusha, hakuna tena matukio ya umwagaji damu Arusha kama lile tukio la Olacity, sasa Arusha ni shwari imetulia, watalii wanamiminika, machalii wa Arachuga sasa ni wanapiga pesa!.
P
 
Lowasa aliyetokea kupendwa na watu anatakoea iringa sio.
Moringe sokine aliyejizolea umaarufu kila kona anatokea njombe sio, huyo geo dev kafanya lipi kubwa kumzid gwaj aliyefufia wafu, au mwamkosa
Aliyewekeza kwao, huyo geo ana nn cha ziada
mkuu hivi gwajima alifufu wafu....????
 
Nabii uchwara ana mapesa ya kugawa, lakini wewe kajamba nani unashindia mihogo na ubuyu wa chachandu
Nabii uchwara anapaka nini? Sijauliza pesa mimi, kuhusu pesa lazima apige maana ana mandondocha kibao yanamfata kutoa sadaka
 
Kama Mrisho Gumbo anamfuata pia huyu nabii naona nyama ya mtu ikitmwingia tako muda si mrefu
 
Kwani aliyekuwa akimwaga damu ni nani?
Uzuri Mungu aliamua ugomvi.
Mungu hadhihakiwi.
 
QMLMMYKE ....KM KM NA WANAOENDA KUMSIKILIZA
 
Huyo nabiikoko anapaka mkorogo dah wonders shall never cease 🤦‍♂️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…