Kanali G
JF-Expert Member
- Oct 21, 2013
- 9,898
- 14,413
Wanamchora kwa malengo wavute mpunga, mpaka masheikh wameshamjulia wanaenda kumsifia wanapewa mpungaAnachorwa tatoo na wake za watu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanamchora kwa malengo wavute mpunga, mpaka masheikh wameshamjulia wanaenda kumsifia wanapewa mpungaAnachorwa tatoo na wake za watu.
Tapeli tu kama matapeli wengineNi wazi kwamba toka Tanzania ipate uhuru, Nabii Mkuu Mheshimiwa Dr Geor Davie wa Ngurumo ya Upako na Msemaji Mkuu wa Serikali na Ufalme wa Mungu hapa Duniani ndie mtu maarufu kuwahi kutokea katika mkoa wa Arusha.
Umaarufu na ushawishi wa Nabii Mkuu umefanya sasa hata wanasiasa wa mkoa wa Arusha kujaribu kumtumia kwenye shughuli zao za kisiasa ili angalau wasisahaulike mkoani Arusha.
Mbunge wa Arusha mjini Bw. Mrisho Gambo ni ushahidi tosha kufikia hatua kwamba sasa inamlazimu kila anapofanya mkutano wa kiasiasa amualike Nabii Mkuu kuzungumza na wananchi.
View attachment 2489391
=====
Kiongozi wa kanisa la Ngurumo ya upako la jijini Arusha akiwa ameambatana na mbunge wa Arusha mjini Mh. Mrisho Gambo ametoa msaada wa kiasi cha shilingi milioni 100 kwa wafanyabiashara wa soko la Samunge.
Akiongea na wafanyabiashara hao sokoni hapo amesema kati ya fedha hizo milioni 20 itumike katika ukarabati wa soko hilo yakiwemo mageti, na milioni 80 ni kwa ajili ya wafanyabiashara wenye mitaji midogo midogo sokoni hapo.
Nae Mbunge wa Arusha mjini Mh. Gambo amechangia kiasi cha sh. Milioni 10 na kufanya kiasi Che fedha kilichopokelewa sokoni hapo kufikia milioni milioni mia moja na Kumi.
Hivi na Arusha kuna wajinga ndio waliwao?Lema kama anataka kurudi Arusha na kugombea ubunge basi aachane na ramli zake na unabii amuachie Nabii Mkuu.
Lema kama anataka kurudi Arusha na kugombea ubunge basi aachane na ramli zake na unabii amuachie Nabii Mkuu.
Eti Mungu, natafakari ni Mungu gani aliyempa unabii MPAKA podaHuo unabii alipewa na nani
Kwani unabii anapewa nabii wa aina gani, mpaka mkaa ama majivu?Eti Mungu, natafakari ni Mungu gani aliyempa unabii MPAKA poda
No Lema arudi tuu, kila mtu na kipaji chake, na kupendwa kwake na kukubalika kwake na unabii wake!, Lema unabii wake ni unabii wa majanga, a prophet of the doom, ana prophesied kupitia ndoto za vifo!, na kweli watu wanakufa kweli!. Gambo yeye hana kipaji cha unabii wa utabiri, bali anatumia manabii wa maendeleo wenye uwezo wa kuhubiri utajiri na kugawa utajiri. Toka Gambo amechukua Ubunge wa Arusha, hakuna tena matukio ya umwagaji damu Arusha kama lile tukio la Olacity, sasa Arusha ni shwari imetulia, watalii wanamiminika, machalii wa Arachuga sasa ni wanapiga pesa!.Lema kama anataka kurudi Arusha na kugombea ubunge basi aachane na ramli zake na unabii amuachie Nabii Mkuu.
mkuu hivi gwajima alifufu wafu....????Lowasa aliyetokea kupendwa na watu anatakoea iringa sio.
Moringe sokine aliyejizolea umaarufu kila kona anatokea njombe sio, huyo geo dev kafanya lipi kubwa kumzid gwaj aliyefufia wafu, au mwamkosa
Aliyewekeza kwao, huyo geo ana nn cha ziada
Nabii uchwara ana mapesa ya kugawa, lakini wewe kajamba nani unashindia mihogo na ubuyu wa chachanduHivi nabii uchwara anapaka nini usoni?
Nabii uchwara anapaka nini? Sijauliza pesa mimi, kuhusu pesa lazima apige maana ana mandondocha kibao yanamfata kutoa sadakaNabii uchwara ana mapesa ya kugawa, lakini wewe kajamba nani unashindia mihogo na ubuyu wa chachandu
Kwani aliyekuwa akimwaga damu ni nani?No Lema arudi tuu, kila mtu na kipaji chake, na kupendwa kwake na kukubalika kwake na unabii wake!, Lema unabii wake ni unabii wa majanga, a prophet of the doom, ana prophesied kupitia ndoto za vifo!, na kweli watu wanakufa kweli!. Gambo yeye hana kipaji cha unabii wa utabiri, bali anatumia manabii wa maendeleo wenye uwezo wa kuhubiri utajiri na kugawa utajiri. Toka Gambo amechukua Ubunge wa Arusha, hakuna tena matukio ya umwagaji damu Arusha kama lile tukio la Olacity, sasa Arusha ni shwari imetulia, watalii wanamiminika, machalii wa Arachuga sasa ni wanapiga pesa!.
P
QMLMMYKE ....KM KM NA WANAOENDA KUMSIKILIZANi wazi kwamba toka Tanzania ipate uhuru, Nabii Mkuu Mheshimiwa Dr Geor Davie wa Ngurumo ya Upako na Msemaji Mkuu wa Serikali na Ufalme wa Mungu hapa Duniani ndie mtu maarufu kuwahi kutokea katika mkoa wa Arusha.