Nabii Mkuu Dkt Geordavie amzawadia gari la kifahari BMW X5 msanii Mkaliwenu

Nabii Mkuu Dkt Geordavie amzawadia gari la kifahari BMW X5 msanii Mkaliwenu

“Imani yake ni kubwa na anastahili reward (zawadi) na ninayainua maisha yako kwa kukuzawadia gari aina ya BMW X5”alisema nabii huyo

Unamzawadia 'maskini' BMW X5 ili ajikwamue kutoka kwenye umaskini!

Maisha ya mtu kama huyo yainuliwe kwa kumpa mtaji utaoboresha kazi yake zaidi, mathalani studio ya kurekodi hizo mambo anafanya, au la kitega uchumi ili aendeshe maisha yake...

Aisee nabii aturudishie chenji zetu
 
manabii wa mchongo mchongo, lakini si inajulikana kwamba wajinga ndio waliwao?
 
[emoji28][emoji28]sasa atalipa nini au atakuwa anamuimbia kila siku??

maana gozbert alipewa benz pia.
 
Unamkawizia nini sasa mzee?!
Hpn siwez ruka nae coz kaka ake mwenyewe aliwai kuwa mtu mzito Sana ktk jeshi la police .....na wanaomtafuna mdg ake Ni wanna ccm wazee fln HV wanoko so mm sikupendi kwenda kuweka nyama zangu mle

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Huyo mnyiramba wa sekenke anayejiita sijui geo, amefulia sasa anatumia kiki kama wasanii wenzake, ninashangaa tuu watu wa Arusha kufanyiwa commedy bado wanajipeleka , bado kale kifupi kama portion kanakoitwa Mr.Pimbi kamepiga debe kweli hakajapewa hata bodaboda . Kitu ambacho sijui ni kwamba hizo gari kadi za gari anaandikaje. Nilichogundua wasanii wa bongo wamedulia sana, baada ya kugundua huyu mnyiramba ni mlenda sifa sasa hivi kila mtu anamwabudu ili apate chochote.Hata wale wa imani nyingine njaa zinawapeleka kwenda kumwabudu mnyiramba
 
Napenda kumpongeza sana msanii wa tasnia ya uigizaji na uchekeshaji bwana Mkaliwenu baada ya kuzawadiwa gari aina ya BMW 5 na kiongozi mmoja wa dini pamoja na kiasi cha shilingi milioni moja

Kwakweli hii ni hatua kubwa sana na pia ni funzo kwa vijana wote pamoja na wasanii wengine kutokana na hili, kinachoonekana ni bwana mkaliwenu kuchangamkia fursa kwa kiongozi huyo baada ya kuona ulaji upo, na hii imeendelea kusisitizwa kwa vijana wengi duniani kuhusu kuchangamkia fursa mbalimbali zionekanazo, sasa nashangaa baadhi ya watu mbalimbali wakiona wivu ikiwemo na wasanii wengine pamoja na hata watu wa jf wakidai ety ni kujishobokesha! na maneno mengine ya shombo! Like serious!!??

Kwangu me nampongeza sana kijana mwenzangu na pia nampa hongera sana kwani katupa funzo pia la kuchangamkia fursa na kutokata tamaa, maana maneno mengi yaliongelewa kabla ya release ya nyimbo, but mwisho wa siku watu wanashangaa huku wakiona wivu mchizi umevuta chuma kikali kwa gharama ya bure!! Wakati wao hawana! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

BIG UP MKALIWENU
2019_24.jpg
 
Binafsi sijawahi kuchekeshwa na huyu jamaa labda ni kwa kuwa tayari ni over 18
 
Napenda kumpongeza sana msanii wa tasnia ya uigizaji na uchekeshaji bwana Mkaliwenu baada ya kuzawadiwa gari aina ya BMW 5 na kiongozi mmoja wa dini pamoja na kiasi cha shilingi milioni moja

Kwakweli hii ni hatua kubwa sana na pia ni funzo kwa vijana wote pamoja na wasanii wengine kutokana na hili, kinachoonekana ni bwana mkaliwenu kuchangamkia fursa kwa kiongozi huyo baada ya kuona ulaji upo, na hii imeendelea kusisitizwa kwa vijana wengi duniani kuhusu kuchangamkia fursa mbalimbali zionekanazo, sasa nashangaa baadhi ya watu mbalimbali wakiona wivu ikiwemo na wasanii wengine pamoja na hata watu wa jf wakidai ety ni kujishobokesha! na maneno mengine ya shombo! Like serious!!??

Kwangu me nampongeza sana kijana mwenzangu na pia nampa hongera sana kwani katupa funzo pia la kuchangamkia fursa na kutokata tamaa, maana maneno mengi yaliongelewa kabla ya release ya nyimbo, but mwisho wa siku watu wanashangaa huku wakiona wivu mchizi umevuta chuma kikali kwa gharama ya bure!! Wakati wao hawana! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

BIG UP MKALIWENUView attachment 2378530
BMW....? Bure..?
 
Back
Top Bottom